masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,269
Hongera sana na asante kwa mrejeshoNisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula ela za kutosha.
Katika koment watu wakasema hakikisha unapoagiza gari unapata inspection sheet.
Basi nikamuendea yule dada wa bfoward tuliyefanya nae mchakato wa kuliagiza. Nikamwambia naomba fomu ya ukaguzi akasema huwezi pata kwa sasa.
Nikapata tumbo joto sana
Nikamuuliza je gari ikija haieleweki itakuaje. Majibu yake hayo hapo chini. Ni kwamba kkiri gari za japani ni nzuri sana ila SINGAPORE KUNA SHIDA, gari yangu imefika iko manga’nyu sana.
Ipo vizuri mno na ilitokea japan
Ukaguzi wa awali na wa baada gari ina asilimia 98 ya ubora.
Bado hatujaifanyia service ndogo
RAI yangu kama unaagiza gari na bfoward usijaribu gari za singapore
Maana kama mfanyakazi wao kakiri zinachangamoto wewe ni nani ujichanganye?
View attachment 2987628
Nitakuomba unipe support ninapoagiza yangu mkuuHongera sana na asante kwa mrejesho
Japo ulikua na risk hiyo ya kutokupata inspection sheet mshukuru Mungu alikuchagulia gari nzuri
Gari ukifanya uchaguzi mzuri wakati wa manunuzi hususani hizo gari za japan unapata gari ikiwa na ubora mzuri Befoward na wajapani wanatoa taarifa sahihi za gari
Vitu vya ziada kuzingatia wakati wa kuchagua gari ni pamoja na
1. Umiliki wa gari, kama ilishamilikiwa na mtu zaidi ya mmoja
2. Taarifa ya ajali kama gari ilishawahi kupata ajali kabla
3. Location ya gari -nchi gari ilipo wakati wa ununuzi na kama ni Japan ni mji gari
4. Uchakavu wowote kama upo
Naweza kuagiza toroli?Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula ela za kutosha.
Katika koment watu wakasema hakikisha unapoagiza gari unapata inspection sheet.
Basi nikamuendea yule dada wa bfoward tuliyefanya nae mchakato wa kuliagiza. Nikamwambia naomba fomu ya ukaguzi akasema huwezi pata kwa sasa.
Nikapata tumbo joto sana
Nikamuuliza je gari ikija haieleweki itakuaje. Majibu yake hayo hapo chini. Ni kwamba kkiri gari za japani ni nzuri sana ila SINGAPORE KUNA SHIDA, gari yangu imefika iko manga’nyu sana.
Ipo vizuri mno na ilitokea japan
Ukaguzi wa awali na wa baada gari ina asilimia 98 ya ubora.
Bado hatujaifanyia service ndogo
RAI yangu kama unaagiza gari na bfoward usijaribu gari za singapore
Maana kama mfanyakazi wao kakiri zinachangamoto wewe ni nani ujichanganye?
View attachment 2987628
Karibu chiefNitakuomba unipe support ninapoagiza yangu mkuu
Samahani TyWe mie ni Ty siyo chifu🙄
Unajua thamani ya Mitsubishi Outlander, RVR, Nissan Dualis, Xtrail, Toyota Harrier, Cross nk brand new mkuu? (nimetaja gari zinazonunuliwa sana na watu wa uchumi wa kati)Tujitahidi tuwezavyo kuagiza gari jipya kabisa kutoka kiwandani na sio yaliyo tumika.
Umtisha sana chief😁😁
Naunga mkono hojaHongera sana na asante kwa mrejesho
Japo ulikua na risk hiyo ya kutokupata inspection sheet mshukuru Mungu alikuchagulia gari nzuri
Gari ukifanya uchaguzi mzuri wakati wa manunuzi hususani hizo gari za japan unapata gari ikiwa na ubora mzuri Befoward na wajapani wanatoa taarifa sahihi za gari
Vitu vya ziada kuzingatia wakati wa kuchagua gari ni pamoja na
1. Umiliki wa gari, kama ilishamilikiwa na mtu zaidi ya mmoja
2. Taarifa ya ajali kama gari ilishawahi kupata ajali kabla
3. Location ya gari -nchi gari ilipo wakati wa ununuzi na kama ni Japan ni mji gari
4. Uchakavu wowote kama upo
MkuuYeah ni kweli hata mimi baiskel za biashara naagiza Japan