usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
Jinsia yako? wewe ni mzuri?Nawapa moyo kaka zangu, dada zangu, na wadogo zangu mnaotafuta kazi na kuona kama hazipo au wanaopata ni wale wenye connection tu.Kazi zipo sema MUNGU wetu ni wa majira na nyakati na kila mtu ana mda wake wa kufanikiwa la muhimu ni kutokata tamaa kutuma maombi na kuamini kazi yako ipo tu.Ni hivi, nlifanya usaili mwezi wa June tarehe 10, 2014, majina yakatoka waliofaulu usaili na mimi nkiwepo bila kuwa na conection yoyote!UKIMTEGEMEA MUNGU HAKUNA LINALOSHINDIKANA
Jinsia yako? wewe ni mzuri?
Hapana, natafuta mchumba tu.mm n ke...mbona unantisha kaka jambazi?...
Ajira ni mpaka usaini mkataba na si kuitwa kwenye usaili .... ukisha saini mkataba njoo utupe tena ushuhuda.