pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 653
Naanza kwa kukumbuka siku moja niliyokuwa naongea na rafiki yangu mmoja ambaye aliwaita mshoga sawa na mashetani na wanatakiwa kutokuishi na kuuliwa. nilimpinga sana rafiki yangu lakini mwisho wa siku sikuweza kumpa elimu sahihi kuhusu na kujibu maswali yake.
Sifikiri kama ni sahihi kwa mashoga kuuawa ingawa naona ni sahihi serikali itoe majibu sahihi kuhusu hili. hawa watu wamekuwa wakiongezeka kwa kasi kubwa. nashinda kuelewa kama hizi ni tabia za asili kwa nini wapo wengi kipindi hiki?
Siamini kabisa kama kweli mwanaume kamili anaweza kukubali kugeuzwa na mwanaume mwenzake, pia nashindwa kuimagine inakuwaje mwanaume anamtamani mwanaume mwenzake kiasi cha kupata hisia kali?
Napenda wana jukwaa tujadili hili na ikiwezekana pia serikali itoe msimamo na kufuatilia sheria zake inazotunga kwa ajili ya usalama wa mashoga kama ni halali kisheria au kwa ajili ya usalama wa jamii kama sio halali
Kibiblia, ushoga na mapenzi ya aina yoyote ya jinsia moja hayakubaliki na ni chukizo kwa Mungu. Naombeni wanajukwaa mchangie hili na kama yupo shoga humu atusaidie kutuelimisha ili tujue hizi kitu zinakuwaje?
Mwanaume kamili hawezi kutamani mwanaume mwenzake labda sijui ni viumbe gani hawa jamani, na je jamii yetu mbona imekaa kimya?