USHOGA KWENYE TAARAB NALO NI JIPU BAYA SANA

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
wakuu,
ninaandika hapa kwa masikitiko na hasira kuona na jinsi gani vijana wameharibikiwa

Mashoga wameugeuza muziki wa taarab kama sehemu yao ya kujiuza

Leo ukienda show nyingi utakuta wamejazana sana na mpaka baadhi ya watu kudhani wapenda taarab wote ni mashoga

Pia mpaka baadhi ya wasanii wawekuwa wakikabiliwa na skendo za ushoga hasa wengi ni wa taarab kutokana na tabia za mipasho, mashauz,uvaaji na pia kujiremba jambo ambalo ni libaya tena hayo ni maroho ya kuzimu



wasanii na wadau wa taarab wanaojijua ni mashoga ni wengi kupindukia



Imefika mahali mtu akipost tu kwenye group la taarab kuulizia wimbo bhas inbox inakua imefurika

Muziki ni sehemu ya kutafuta riziki tu na kila mtu apate ugali wake

Hili ni jipu baya sana mashoga wafukuzwe kwenye taarab tena wapate adhabu kali

Wasiharibu sanaa za watu

NAWASILISHA WAKUU
 
Ni vigumu sana kutenganisha ushoga na taarabu!vyote vinapatikana mikoa iliyokuwa makazi ya waarabu !Hivyo ni vigumu sana kutenganisha ushoga, taarabu na uarabu!!!
 
Ni vigumu sana kutenganisha ushoga na taarabu!vyote vinapatikana mikoa iliyokuwa makazi ya waarabu !Hivyo ni vigumu sana kutenganisha ushoga, taarabu na uarabu!!!
Ila mbona wafiraji wengi ni waitalia nao wanakaa huko?
 
Taarabu ni jini mahaba.

Ukipenda taarab lazima uwe shoga au malaya.
 
Back
Top Bottom