Ushoga Duniani, Obama ni Msemaji tu



Sound gud km unaukubali vile?
 
Mbona hata TZ ushoga upo, mashoga wengi na wanajulikana? Kama kweli tunapinga ushoga mbona hatua hazichukuliwi? Nenda Sinza, kinondoni wamejaa mashoga tupu hasa kwenye mabar maarufu-Corner Bar, Meeda, Rombo nk!
 
Huwezi kupambana na shetani kama ndani yako hauna aliye mkuu kuliko shetani...

Ushoga ni moja ya ibada za kishetani ndio maana waumini wa rituals hii huwezi kuwaaminisha kinyume na hapo...
 
Huwezi kupambana na shetani kama ndani yako hauna aliye mkuu kuliko shetani...

Ushoga ni moja ya ibada za kishetani ndio maana waumini wa rituals hii huwezi kuwaaminisha kinyume na hapo...

muda mwingi natumia vimchina kias nashndwa kutoa like kweny post nzur kama hizi. well said mkuu. msaada tena kwa anayekiona kitufe cha like wakuu.
 
Sikonge umeongea ukweli ambao wengi hawataki kuusikia.... hiyo chungu kumeza lakini ndio hali halisi....hivi vitu vinafanyika sana...tena sana...si saudia..si ulaya..si africa..ila tu kwa kificho kwa baadhi ya sehemu...tunaweza sema suala hili limefanywa kinafiki...watu wanapinga (wapo wa nia ya dhati na wengine wanafiki)
 
Ku-deal na mambo ya urembo sidhani kama ni ushoga. Deo usivunjike moyo.

haha we mtetee tu,ila kiukweli hata anavyokaa,anavyoongea yan kwa kweli hapana yule mi simwamin kabsa,mwanaume rijali utakuwaje na mapoz ya kike?eti fashion ..mbona martin kadinda hana swaga za kike?
 
Kila mwanadam anataman kuwa na mtoto huwa najiuliza hivi hao mashoga wenyewe hawataman kuwa na watoto na km wanataman hawawaz watawapataje km wanaharibiwa kias hicho
 
Kila mwanadam anataman kuwa na mtoto huwa najiuliza hivi hao mashoga wenyewe hawataman kuwa na watoto na km wanataman hawawaz watawapataje km wanaharibiwa kias hicho

hivi hujawahi sikia Elton John nae alizaa mtoto?...tena vyombo vya habar vikawa vinaripot eti "Elton John apata mtoto"..lol nikawa najiuliza hiki ni nini? ila sikupata jibu
 
Thread Nzuri Sana Hii! Neno La Mungu Linasema,ni Heri Wafu Wafao Ktk Bwana,naam Wapate Kupumzika,kwa Mara Ya Kwanza Ktk Maisha Yangu,nimempenda Mno Museveni,udikteta Wake Sasa Umekuwa Mtamu Sana,amekuwa Rais Wa Watu Norway Wamemnyima Msaada Wa Bilioni Sh,ambazo Ilikuwa Wampe,mwisho Wa Dunia Huu,the Great Nations Will Seek To Kill Museveni,but God Shall Stand By His Side,amen!
 
duu kuna siku nilikuwa pale bwawani hotel zanzibar ,yaani mpaka nikaona aibu mwenyewe mapunga wanavyojishaua
 

hata mimi.
 
 
Hizi habari huwa zinanitekenya ubongo sana nikiangalia hawa watoto wakiume nlionao!nawaombea sana nahuwa aisee kama Mungu yupo anilindie tu jamani
As a mother hii kitu inaniumiza kweli...na wanetu hawa wa kiume... Mungu awaipushe wanetu....
 
Siyo kwamba nimekubali ila ninaanza kukata tamaa. Nimebahatika kuona film kadhaa za ushoga duniani na jinsi hawa jamaa walivyo na nguvu ya pesa. Wakija leo Tanzania, wataweza kuweka hata Serikali yao kwa kutuchagulia Wabunge na hata Rais ambaye ni Shoga na mwisho Serikali ipitishe Sheria.

Mkuu, hali inatisha sana. Ila kwa leo hii, unanisoma na kuona kama nina kubali na ninahisi hata unacheka vile? Subiri siku Mwanao atakuja na kukuambia amekuwa Gay, ndiyo utakumbuka maneno yangu.
Sound gud km unaukubali vile?
 
Hivi Mtu akiandika kuwa Kansa inauwa na akaonyesha jinsi tatizo lilivyo, maana yake ana-support Kansa iuwe watu?

Hivi huwa mnasoma kweli au mnarasharasha macho? Nimeandika kila kitu wazi na kama umeona sehemu ninashangilia, basi nina wasiwasi huko darini kwako kumekaa tenge. Nimejaribu tu kuonyesha jinsi nguvu ya ushoga ilivyo kubwa na inaendelea kuwa kubwa. Nikasema hii kukaa na kumtukana Obama, siyo dawa. Nimeacha wazi habari nzima watu wajadili nini kifanyike kwani kwangu mie, sijui nini nikifanye ili niwaepushe wanangu na Ushoga.

Hivi wewe siku Mwanao au Mjukuu akija na akuambie amekuwa SHOGA, utafanya nini? Utakuja JF uanze kunitukana? Utaanza na wewe kumtukana Obama au Cameron kuwa wamekuharibia mwanao? Umeshasikia msemo "Dua la kuku halimpati mwewe?" Inabidi kama jamii tukae chini na tujadili nini kifanyike na ili kukabiliana na tatizo, ni lazima tulijue tatizo lenyewe na ukubwa wake. Watu mkiambiwa ukubwa wake, mnafikiri SIKONGE anashangilia ushoga - Mie na Sheick Kipozeo ni damu damu kabisa. Mie na mizigo ni kama Chanda na pete.....

Kwa hiyo na wewe una support ushoga au?
 
Last edited by a moderator:
Tyta,

Nashukuru kwa maelezo yako. Mie bahati mbaya si mwenyeji wa Dar na Zanzibar hata sijafika. Ila sihitaji kufika sehemu fulani kujua hali ikoje. Kama nilivyosema, kuna Film ambayo walionyesha kuwa USA Congress ndiyo jumba la ushoga, nguvu zikaniishia. Ndiyo hapo kwa mara ya kwanza nikaanza kufungua macho kutaka kuelewa hali ni mbaya kiasi gani.

Zilizvyoanza kuzuka habari za wale Mawakili wa Arusha kuwa ni Mashoga, basi nikaunga Dots na kuelewa kuwa ndiyo style yao na kuwa hawa jamaa wameshapiga hodi Tanzania. Na kama wameshaanza kuwatajirisha vijana, na vijana wanajionyesha waziwazi, mchezo huu umeshaota mizizi.

Watu wanaweza kushangaa siku moja kusikia hata Museven au Mugabe walikuwa Mashoga. Si kuna msemo unasema "Chini ya nguzo ya Taa, ndiyo penye giza?" Hata Congress ilikuwa hivyohivyo kuwa wale wapinzani wakubwa wa ushoga, ndiyo wakaja kusemwa kuwa ni mashoga. Hivi Museven na Mugabe kwao tatizo kubwa kwa nchi zao ni USHOGA? Kwa nini wasiandike sheria inayokataza watu kuwa MASIKINI? Sheria inayokataza watu kutokujua kusoma na kuandika? Yaani uongozi umemshinda sasa anaanza kukataza Vimini, vitumbo wazi, ushoga........ ila umasikini, kukosa huduma bora za jamii nk kwake si shida. Hawa jamaa naona wanaanza kwanza kununua matairi ya gari kabla ya gari lenyewe kununuliwa.
Sound gud km unaukubali vile?

Mbona hata TZ ushoga upo, mashoga wengi na wanajulikana? Kama kweli tunapinga ushoga mbona hatua hazichukuliwi? Nenda Sinza, kinondoni wamejaa mashoga tupu hasa kwenye mabar maarufu-Corner Bar, Meeda, Rombo nk!

Huwezi kupambana na shetani kama ndani yako hauna aliye mkuu kuliko shetani...

Ushoga ni moja ya ibada za kishetani ndio maana waumini wa rituals hii huwezi kuwaaminisha kinyume na hapo...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…