kwanini unaogopa dadaangu??mmhh!! Naogopa sana mambo ya kufa hadi kufariki kwakweli.
Umesahau uchakavu18% VAT ya thamani yako + Import Duty + Railway leavy
Habari wapendwa,
Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya maziko,
SWALI: Naamini mtanzania ni mtanzania tu japokuwa haja ukana utanzania wake, Huu mwili/maiti inatozwa ushuru?
Ni hayo tuu, naomba kujuliswa / kuelimishwa...
Akhsanteni..
[emoji2]Chukua umri wako + bei ya bando ulilo unga -- uwezo wako wa kufikili ulipo ishia = utapata gharama zote [emoji855]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesahau uchakavu