Ushirikishwaji wa sekta binafsi na umma kukuza uchumi wa Tanzania

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
TANZANIA ni nchi inayosifika kwa kuwa miongoni mwa mataifa yenye mali asili za kutosha kwa kuongeza kipato katika uchumi wa nchi licha ya kuwa na sifa nyingine ya kuwa katika orodha ya nchi maskini duniani.

Sababu kubwa ya kuijumuisha Tanzania katika nchi zinazoaminika kuwa maskini ni kutokana na ukweli kwamba raia wake wanaishi kwa chini ya kiwango cha Dola moja ya Marekani (US$ 0.6) ambayo ni sawa na Shs. 1,300 za Kitanzania kwa siku, huku kundi kubwa la Watanzania wakiwa hawapati baadhi ya huduma muhimu za kijamii kama vile miundo mbinu, hospitali, shule na chakula cha uhakika, wengi wakipata mlo mmoja kwa siku.

Soma zaidi hapa => Ushirikishwaji wa sekta binafsi na umma kukuza uchumi wa Tanzania | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom