JICHO LA WAZAWA
Member
- Jan 2, 2013
- 16
- 3
Katika hali isiyouwa ya kawaia au kuaminika masikioni mwa walio wengi ni kuhusu hii dini ya jamii ya siri fremasons ambayo kwa siku za karibuni imekuwa ikitajwa sana na midomo ya watz wengi.
Hivi karibuni kuna tukio lililotokea katika shule ya st marigoreti iliyopo mjini moshi inayomlikiwa na na watawa wa shirika la bibi yetu wa huruma jimbo katoliki la moshi kuwa kuna mwanafunzi alifariki katika mazingira ya kutatansha
picha ilivyokuwa
mwanafunzi huyo mtawa aliyekuwa akijiendeleza kimasomo alifariki ghafla ndani ya bweni bila kuwepo kwa sababu zozote za kifo chake hicho ila hapo awali wanafnzi walishalalaika kuwa kuna vitu visivyofahamika vinavyoonekana usiku na hata kufikia hatua ya kuwanyonga wakiwa usingizini ni pamoja na mwanafunzi huyo aliyefariki imeelezwa.
Kwa mujibu wa taarifa za wanafunzi waliopo likizo katik maeneo mbali mbali hapa jijini dar walisema wamekuwa akitoa taarifa kwa mkuu wa shule(ambaye ni sister njau) kuhusiana na hali hiyo lakini wamekuwa wakijibiwa kuwa ni miujiza ya mungu na ndio maana wana akili sana.
Katika kudhihirisha hilo kuwa kuna nguvu isiyo ya kawaida mkuu huyo wa shule amekuwa akipandisha ada kiasi kama ukilipa ada ni kama unanunua shule lakini hata askofu hathubutu kuingilia kati na huku sister akizidi kuwa jeuri
tutafute ufumbuzi ..tiririka