Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
Mkuu.@Father of All Watu wanataka kwenda mbele wewe unarudi nyuma? hakuna mambo ya Biashara ya Utumwa mkuu. Biashara za Utmwa Zimeshapitwa na wakati .Tujiandae kusikia historia mpya ya biashara ya utumwa ambapo Oman itaoshwa na kuonyeshwa kama haikushiriki kwenye jinai hii. Kweli mabaki ya utumwa bado yapo. JK anakenulia matokeo ya utumwa. Hawa si watu wa kuwa nao uhusiano sawa na washenzi wenzao wa Magharibi kabla ya kudai watulipe fidia kwa ushenzi waliotufanyia. Mbona wayahudi wamelipwa wakati ni wachache kuliko sisi?
Mkuu Father of All unaonaje tuiachie Zanzibar wajitawale wenyewe? Unasemaje wazo lako?Mkuu Mzizimkavu niombe radhi. Sijaongelea mambo ya nyuma zaidi ya kusema historia. Soma between the lines utaelewa. Naona leo umepitiwa au umeishapata chochote kitu?
Mkuu Father of All mbona Umetoa Masharti kibao?Mkuu Mtimkavu sorry mwanangu MzizimkavuSina ugomvi na hili kama
a) Litakubaliwa na pande zote mbili katika muungano
b) Wakiacha kutuita wakoloni wakati walituita wenyewe kuungana nao ili kuepusha wasipinduliwe na sultani waliyempindua.
c)Watatuhakikishia kuwa hawatatumiwa na al qaida na al shabaab kuhatarisha usalama wa taifa letu.
d) Kama watakuwa na uwezo wa kujitawala kwa mfano kuwa na miundo mbinu ya kiutawala kama vile jeshi na uchumi unaoweza kujiendesha bila ya kutaka sisi kuwaendesha kama tunavyoendeshwa na wazungu.
e) Watakuwa tayari kuchukua watu wao waliojazana bara.
f) Watadai huo utawala kisheria na kistaarabu.
Mkuu Father of All pamoja na hayo yote Wamesha uchoka WaZAnzibar na huo Muungano wenu wanataka wao peke yao unasemaje?Kwa Mawazo yako?Mkuu Mzizimkavu mfano wako hauswihi ikizingatiwa kuwa katika ndoa neno mapenzi. Kwenye muungano hakuna mapenzi zaidi ya maslahi. Hata tukitumia mfano wa ndoa mke wangu hana uwezo wa kuniua kwa vile akili yake kidogo si nzuri. Hivyo she can't form such an intent given that she is a bit insane. Therefore no way one can enter any reasonable deal with an insane person. Nimetoa masharti ili zenj watulize akili na kuanza kutumia njia zitokanazo na fikra badala ya jazba na hasira. Kwani ulikuwa hujui kuwa uamsho walikuwa wakishirikana na SMZ kushinikiza kuvunjwa muungano kabla ya kustukiana kuwa kumbe CUF na uamsho walitaka kuitumia SMZ kujitia kitanzi.
Mkuu Father of All Hilo ndilo Tatizo letu WaTanzania ninakuuliza swali na wewe unaniuliza Swali lile lile kwanini? Ndivyo ulivyofundishwa na Mwalimu wako ulipokuwa upo shule unasoma?Mkuu MziziMkavu wewe unasemaje kwa mawazo yako pia?
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwa na Mzee John Malecela.
Mkuu Achahasira Kwa mawazo yako Muungano uvunjike?Jibu ndio au hapana.MziziMkavu na Father of All
mbona kama munakimbiana, jibu ni moja tu muungano hautakiwa na pande ya pili, tushirikiane kwa vitu vingine lkn sio ndoa
so true. Angekuwa anasign yeye ndo huwa naonaga wasaidizi wako nyuma yake. Mi pia sijaelewa uwepo wake hapo.Mmmmh ina ulazima gani JK awepo kwenye function hii, maana inahusisha lower ranks zaidi, labda ndo sijui protocols
Mkuu Achahasira Kwa mawazo yako Muungano uvunjike?Jibu ndio au hapana.
Toa Sababu muhimu kwanini muungano wetu Uvunjike? Achahasirahehehe kwakuwa Mimi ni mbongo, narudisha swali kwako, muungano uvunjike au la?
jibu langu.
Uvunjike
Toa Sababu muhimu kwanini muungano wetu Uvunjike? Achahasira