Habari wanajamiiforum
Heri ya Pasaka,
Je wote pia ni wazima kabisa
Samahani ndugu zangu Jana nilitumiwa sms kutoka shule anayosoma mtoto na Mwl wake Toka January alianza chekechea sms hii
Ndugu zangu kwa Sasa Hali yangu sio nzuri kabisa ni mtu tu wa vibarua hapa na pale kwa sikukuu hizi watu wapo busy sana na pasaka
kazi hakuna, na ada hiyo ni ya miezi 3 tu
Naomba msaada wenu, ndugu zangu hata kidogo kitakuwa na maana kubwa sana kwangu. Niko tayari kueleza zaidi kwa atakayehitaji ufafanuzi. Ahsanteni sana na Mungu awabariki!