Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,261
- 8,324
Ushirika huu upo kijiji cha Wami Dakawa km40 kutoka Morogoro Mjini katika yaliyokuwa mashamba ya NAFCO hekari 5000.
Washirika wachache wamehodhi mashamba makubwa hakuna usawa baina ya wanachama kuna mwanachama ana heka 1 wakati mwingine ana hekari 12.
toka 2007 hadi leo kuna wanachama zaidi ya 930 na kila mwanachama ametoa hisa ya Tsh 100,000/- ambazo hazijulikani ziko wapi na hakuna majibu.
kila msimu wanachama kila mmoja huchangia Tsh 130,000/- bila kujali una heka 1 sita au 12 ambazo matumizi yake hayako wazi.
Ushirika hauna trekta wala kombaini hata mija kwa miaka yote hii.
Washirika wakifariki warithi wao hunyanganywa mashamba.
Tume ya ushirika imeshindwa kufatilia ufisadi huu kwa sababu wanahongwa na watu wakubwa wakishirikiana na diwani wa dakawa ili maslahi yao yasipotee.
TUNAOMBA RAIS TULETEE WAKAGUZI TOKA TAKUKURU WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAMESHASHINDWA KUSHUGHULIKIA SHAMBA HILI
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app