mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,191
- 19,117
Hawezi kukubali marudiano,hili lenyewe kasumbua sana.
Sijui alikua hataki/anaogopa/anadharau? Hata cjui?
Mwisho wa siku chai imeungwa chumvi,na watu wamekubali kuinywa.watafanyaje sasa!
Moneyman kashinda kwa point ingawa watu wengie wanaonekana kutokuridhishwa na ushindi huo. Katika mapambano ya ngumi point hupimwa na idadi ya ngumi zinazotua usoni na kichwani. Ngumi zote zinazoangukia kwenye glovu, tumboni na sehemu nyinginze za mwili huwa hazihesabiwi. Ingawa Pacman alitupa ngumi nyingi sana zikiwemo combinations kadhaa, sehemu kubwa ya ngumi hizo ilikuwa inaangukia kwenye glovu za Moneyman, wakati ngumi za Moneyman nyingi sana ziliangukia usoni mwa Pacman.
hahahaha kuna lingine la kitambo jamaa huyu mei weza kashinda kwa majority decisionKuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Mchezo haukufurahisha kwa kuwa wengi walitegemea pambano kali la kutwangana makonde mazito hadi kieleweke. Katika boxing mbinu ni nyingi za kushinda ikiwemo kutompatia mwenzako nafasi nyingi za kupiga kitu ambacho Mayweather alifanya na Manu hakupata mbinu ya kujibu. Mayweather ameshinda kihalali japo kwa style ambayo ni kinyume na matarajio wengi. Naona kidogo inafanana na Chelsea anavyosogelea ubingwa kwa mchezo usiovutia lakini wako strategic sana kuondoka na ushindi mdogo wa bao moja moja wakijua wanaekekea kutimiza lengo lao. Kufunga mabao mengi kwao sio la msingi. Ushindi mdogo unawapa point 3 na zinatosha kwa kuwa hawana mpinzani wa karibu wa points. Mi naona ni professionalism at its best. Mayweather na Morino are pure professionals and I admire that. We piga kelele zako wee wao wanatekeleza mikakati yao bila masihara.
Sasa ndio umemwaga utorojo gani huu. Si umejaza server za jf bure wewe?
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
Dunia ili simama kuangalia upuuzi. Pambano lililokuwa na tension kubwa kiasikile then lime kuwa kawaida saana. Nilitegemea kuona fantastic punches from both side lakini haikuwa hivyo. Maywether amekuwa akijihami katika round zoote. Yes ameshinda, lakini ushindi wake hauna stimulation yoyote.
My take. Pambano halikustahili kupewa heshima kiasi kile.
Labda majaji wamehesabu foot steps si punches
Kazi nzuri kafanya PAC
Makonde mengi kapokea MAY
jukwaa katawala PAC
Kukibizwa kakimbizwa MAY
good boxing kacheza PAC
Ushindi kapewa MAY
japo aliyestahili ni PAC
Kiiungwana kabisa,bila ushabiki,ubaguzi.MAN PAC kakandamizwa ili kwa ajiri ya kulazimisha heshima kwa marekani
wameshafanya kama mieleka ya wweimenihuzunisha..... !! Lakini Bingwa ni bingwa.
Nimeskia taarifa ya bbc michezo saa tatu usiku,imenidikitisha sana kuwa majaji walichanganya na kumpa point kimakosa weather et sababu ya rangi za buktaHii ni kutokana na uchambuzi wa Idd Seif na kwamba wanatumia mtambo ambao unasoma points na katika kutoa uamuzi kulikuwa na sehemu ambayo ina rangi ya blue na nyekundu. Kwahiyo basi sehemu ya Manny ikasomwa kwa May na vice versa. Waligundua tayari mshindi ametangazwa. Manny alipoulizwa akasema basi yameisha yeye anamuachia Mungu.
Source: BBC Dira ya Dunia
Kweli hii saa mbovu. Idi Seif kaelezea kwa kiswahili na bado umeshindwa kumuelewa. Je angeelezea kwa kinngereza si ndio ungepotea kabisa na uswahili wako huo.