Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??
PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....
defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....
lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......
kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....
kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........

Ilitakiwa iwe droo...
Hawezi kukubali huo ujinga ManPac. Bora aache ngumiMambo ya ki freemason tu..maywether yupo kwenye kingdom hakutakiwa aangushwe this tyme ila muda ukifika man pac akikubali kuwa raia wa us naye atapewa hiyo kingdom..secret behind the scene and mission was planned
Sasa ndio umemwaga utorojo gani huu. Si umejaza server za jf bure wewe?Licha ya kwamba hujui kitu NGUMI as a sport lakini Pia umeathiriwa na utanzania na mila yetu ya kulalamika na visingizio kila tunaposhindwa kitu tumezoea kutafuta mchawi, sio kosa lako. Floyd Mayweather ameshinda fair and square! Nakupa nukuu chache hapa kutoka Las Vegas ring side kama walivyonukuliwa wataalamu na BBC radio 5 live: Nianze na Pacman mwenyewe: "He is moving around a lot, its hard to throw (read connect) many punches!"; huyu Ni Lennox Lewis; former boxing champ aliyemfundisha ngumi Mike Tyson ulingoni! Anasema: "if you can't catch it, you can't hit it!"; Nae rafiki wa tangia utotoni wa Pacman waliyeishi nae kwenye mabox mitaa ya Manilla anasema hivi "you have to accept if you share the ring with Floyd May....., that four out of every five punches you throw at him are going to miss, it hurts"; na Lightweight boxer Anthony Crolla alisema hivi: " Once they get in the ring and realize how hard it is to hit Floyd ...., it just breaks their heart!"; tafuta live feed ya BBC radio 5 kupitia bbcnews.com utazikuta hizi nukuu za watu waliokuwapo MGM grand, Las Vegas,na wanaoijua boxing; sio wewe na Mimi tunaojitia ukakasi buuree!? Floyd Mayweather Jnr is a true king of pound for pound boxing and one of the worlds boxing greats of all time, anaingia katika boxing hall of fame along with the likes of boxing legend Mohamad Ali, Floyd Patterson, Sonny Liston, Joe Frazier, Sugar Ray Leonard, Iron Mike Tyson etc etc; sijui kama mwenzetu uliwahi kuwaangalia in action hawa wafalme wa Boxing; kwani Enzi zao TV ilikuwa kwenye "Geti kali Tu"! Lakini kwa wengi wetu Uswazi mpaka kuhemea!
​mkuu wameenda zote 12
Soma chini hapa uone record ilivyomayweather hajarusha ata panch tano kwa pac
Kwa alieona hili pambano mwanzo mpaka mwisho ni wazi kabisa bila fitna ya kwamba
mayweather kapendelewa kwenye huu usshindi wake wa kimagumashi, pacquiao kamfumua
mayweather kama mtoto kitu kilichofanya mayweather awe kugeuza kona za ulingo maskani
yake, je unauchukuliaje ushindi wa mayweather?
Kama hujui kitu ni busara sana kuuliza mkuu!
In short wewe mchezo wa boxing inaelekea hujui. Pole.
Mkuu umeniibia coment yangu...niliipost asubuhi kwenye uzi wa BAKKwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??
PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....
defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....
lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......
kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....
kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........
Mkuu umeniibia coment yangu...niliipost asubuhi kwenye uzi wa BAK
Ulitaka aamue nani?
Statistics hizi zitsaidia kuamua ni nani alistahili.
Kama watarudiana mywether ajiandae na kichapo hana uwezo nilijua atashinda kwa ko kumbe jamaa yuko fit balaaa.