Tumefika kwenye utawala wa kiimla.Katika nchi inayofuata demokrasia na uchaguzi wa haki rais anaweza kushinda kwa zaidi ya 90% kweli? Basi rais huyo atakuwa na nguvu za ziada za kuweza kutatua Keri zote za wana nchi kuanzia huduma za jamii, miundo mbinu na uchumi.
Mkoa za kuona madiwani wanapita bila kupingwa mjue na wabunge watapata slope hiyo hiyo. Mwisho wa yote rais atapita kwa 98%. Hivi kweli kabisa unatawala binadamu huru upste 98% ya watu wanakubali utawala wako! Wonders shall never end.
Haya mambo tulizoea kuyaona Rwanda, sasa sisi ndiyo siasa yunazoziamini. Rwanda wakianza kampeni tu tuna just Kagame ndiye mshindi kwa 99%. Hata Uganda ni hivyo hivyo.
Kwa kweli nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi zaidi ya Botswana na Ghana sijui ni zipi maana sisi tunaigiza uchaguzi kama Bongo Movie.
ni vile tumeshajichokeaTunafunika pombe mwanaharamu apite
Sawa ni haki yako kusema usemayo, ila ukweli ccm bila nguvu ya dola hakuna kituserikali ya awamu ya tano inakubalika mnoooo
Ole wako wana-CHAPUTA tusikie umejiuzuru ili uiunge mkono sisiemuhata mimi natarajia kujiuzulu nafasi zangu zote kuunga mkono juhudi za mh rais
Unajua wazungu kuna muda huwa wakituita uncivilized/washenzi mimi huwa nafurahia na kupenda hilo maana linasadifu ukweli na akili zetu.Katika nchi inayofuata demokrasia na uchaguzi wa haki rais anaweza kushinda kwa zaidi ya 90% kweli? Basi rais huyo atakuwa na nguvu za ziada za kuweza kutatua kero zote za wanchi kuanzia huduma za jamii, miundo mbinu na uchumi.
Mkiona madiwani wanapita bila kupingwa mjue na wabunge watapata slope hiyo hiyo. Mwisho wa yote rais atapita kwa 98%. Hivi kweli kabisa unatawala binadamu huru upate 98% ya watu wanakubali utawala wako! Wonders shall never end.
Haya mambo tulizoea kuyaona Rwanda, sasa sisi ndiyo siasa yunazoziamini. Rwanda wakianza kampeni tu tuna just Kagame ndiye mshindi kwa 99%. Hata Uganda ni hivyo hivyo.
Kwa kweli nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi zaidi ya Botswana na Ghana sijui ni zipi maana sisi tunaigiza uchaguzi kama Bongo Movie.