Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 461
- 278
Tuna amini kwamba tawala zote duniani utoka kwa Mungu!
Ni kweli maana Mungu ndo muumba wa vitu vyote!
Chaguzi zote za haki ni sehemu ya kumpendeza Mungu! Chaguzi za dhuluma ni machukizo ya Mungu! Kama kuna watu wanalalamika automatically ni chaguzi za kuzimu! Ndo maana tunaona ardhi imepanua mdomo wake kwa sasa na kumeza damu ya wasio na hatia!
Kuua, kusingizia kesi, kudanganya hakuwezi kuhalalisha ushindi wa kishindo! Ushindi wa kishindo ni FREE AND FAIR ELECTION!
NJE YA HAPO NI UTAWALA WA KISHETANI