Ushindi wa Jana tumsifu Mganga au Kocha?

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Maana kila siku malalamiko kuwa Gamondi hana uwezo, timu imeshuka kiwango, lkn jana timu ilionekana kuwa na nguvu ya ugolo.

Ss hv kocha hasemwi wala hatukanwi, majigambo kwa kwenda mbele.

Naomba kuuliza ni yeye amebadilika ghafla hadi ushindi mnono ule au Mganga asifiwe?
 
hqdefault.jpg
 
1708850700355.png
 
Sema wanawake wa saiv P2 zina waharibu Mtu amekupiga BAO 5 Bila KINGA tena kwenye siku zako na hujabeba Mimba.

Ila akipiga kwingine kimoja tu Mtoto anatungwa.
 
Back
Top Bottom