Ushindi wa CCM na viini macho vya Mwanamalundi

Huu uchaguzi umeonyesha jinsi CCM ilivyo dhaifu na jinsi ambavyo watu hawaipendi CCM. Nina uhakika kama si nguvu za kijeshi zilizotumika, CCM haingeambulia hata kata moja. Uzuri ni kwamba hata CCM wenyewe wanajua kwamba mambo yalikuwa magumu kwao. Hat mwenyekiti mwenyewe anajiuliza ni kwa nini pamoja na yote aliyoyafanya bado chama chake kinategemea nguvu za kijeshi kushinda uchaguzi tena wa diwani. Mimi nilifikiri ili CCM ijitathmini namna gani inapendwa na wananchi wangeacha huu uchaguzi uwe wa huru na haki ili waone maeneo yenye matatizo au maeneo wasioyokubalika na kuwekeza nguvu huko. Unamwona hata Polepole anazungumza huku midomo inatetemeka, kamishna wa tume ya uchaguzi naye anazungumza huku midomo ikitetemeka pia.
Ccm ni mlenda uliochacha.
 
USHINDI WA CCM NA VIINI MACHO VYA MWANAMALUNDI.

Inasadikika CCM wameshinda kata takribani zote huku upinzani wakipata kata moja tu, mjinga ni mjinga tu na mpumbavu ana nafasi yake, wagombea wamejitoa kwa uonevu wenu wa kuminya Haki na Demokrasia halafu mnasema mmeshinda au mmeteuliwa na Tume ya Uchaguzi? Matokeo mengi mmeyapindua kwa nguvu ya Jeshi la Polisi na kuwatishia watu kuwaua halafu mnasema mmeshinda…

CCM sio Chama hata kidogo bali wanafanya Mazingaombwe ya danganya toto kuonesha kuna demokrasi giza ndani ya mwanga. Mpango wa CCM nikurudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuvihujumu vyama vya upinzani kwa kwakutumia nguvu za Kijeshi ambayo ni mbinu niliyowafundisha mimi mwenyewe kipindi nimejiunga CCM mwaka 2014 kabla sijaondoka mwaka huu 2017.

Aidha mipango michafu ya CCM ni kufanya unyama kila kona na kuwadhalilisha Wapinzani kwa namna yoyote ile na wengine napoongea hapa watakimbia Nchi na kwenda kuishi uhamishoni. Mwanamalundi alipokuwa akishindana ngoma maadui zake walikuwa wanageuza ushindi nakumpa adui yake ili Mwanamalundi aanguke na hiki ndicho anachofanya CCM. Wapinzani wanapaswa kuwa wabunifu tu ili kwenda kinyume na malengo ya CCM na ni rahisi sana kuwapindu CCM na Mzingaombwe yao. KAZI KWENU.

Mwaka 2020 or before…..Iam going to be a President of United Republic of Tanzania

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU

28 NOVEMBA 2017
Kisanduuu at work...

Hali yenu mbaya sana wanachadema. Na bahati mbaya JamiiForums ndo Kimbilio lenu. You have never been people of facts but Majungu. Poleni snaa. Endeleeni na siasa za mitandaoni na kuita waandishi wahabari
 
"Nakupa gari, nakupa ulinzi! Bado unatangaza upinzani wameshinda"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uchaguzi umeonyesha jinsi CCM ilivyo dhaifu na jinsi ambavyo watu hawaipendi CCM. Nina uhakika kama si nguvu za kijeshi zilizotumika, CCM haingeambulia hata kata moja. Uzuri ni kwamba hata CCM wenyewe wanajua kwamba mambo yalikuwa magumu kwao. Hat mwenyekiti mwenyewe anajiuliza ni kwa nini pamoja na yote aliyoyafanya bado chama chake kinategemea nguvu za kijeshi kushinda uchaguzi tena wa diwani. Mimi nilifikiri ili CCM ijitathmini namna gani inapendwa na wananchi wangeacha huu uchaguzi uwe wa huru na haki ili waone maeneo yenye matatizo au maeneo wasioyokubalika na kuwekeza nguvu huko. Unamwona hata Polepole anazungumza huku midomo inatetemeka, kamishna wa tume ya uchaguzi naye anazungumza huku midomo ikitetemeka pia.
Huyu Kailima we mwache atambe na STL V8 but days are numbered....
 
na utashangaa kwani hawajashangilia huo ushindi maana wanajua walichofanya
 
CCM bila msaada wa polisi na vyombo vingine vya dola hawawezi Kushida uchaguzi hata wa nyumba tano!!!!!!
 
Na nani sasa
3966ecd078815302a7b4ea31df75f1af.jpg

Hawa nani?
 
Watu walimuona Dr Shika chizi wakati chizi wako na JF wanachizika nae!
 
USHINDI WA CCM NA VIINI MACHO VYA MWANAMALUNDI.

Inasadikika CCM wameshinda kata takribani zote huku upinzani wakipata kata moja tu, mjinga ni mjinga tu na mpumbavu ana nafasi yake, wagombea wamejitoa kwa uonevu wenu wa kuminya Haki na Demokrasia halafu mnasema mmeshinda au mmeteuliwa na Tume ya Uchaguzi? Matokeo mengi mmeyapindua kwa nguvu ya Jeshi la Polisi na kuwatishia watu kuwaua halafu mnasema mmeshinda…

CCM sio Chama hata kidogo bali wanafanya Mazingaombwe ya danganya toto kuonesha kuna demokrasi giza ndani ya mwanga. Mpango wa CCM nikurudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuvihujumu vyama vya upinzani kwa kwakutumia nguvu za Kijeshi ambayo ni mbinu niliyowafundisha mimi mwenyewe kipindi nimejiunga CCM mwaka 2014 kabla sijaondoka mwaka huu 2017.

Aidha mipango michafu ya CCM ni kufanya unyama kila kona na kuwadhalilisha Wapinzani kwa namna yoyote ile na wengine napoongea hapa watakimbia Nchi na kwenda kuishi uhamishoni. Mwanamalundi alipokuwa akishindana ngoma maadui zake walikuwa wanageuza ushindi nakumpa adui yake ili Mwanamalundi aanguke na hiki ndicho anachofanya CCM. Wapinzani wanapaswa kuwa wabunifu tu ili kwenda kinyume na malengo ya CCM na ni rahisi sana kuwapindu CCM na Mzingaombwe yao. KAZI KWENU.

Mwaka 2020 or before…..Iam going to be a President of United Republic of Tanzania

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU

28 NOVEMBA 2017
We koma usimfananishe mtume wa Africa ( muhenga mwanamalundi ) na watawala
wasio na mulungu,seb'a akujiwe.
 
ushindi usio na radha ccm hatuhitaji radha ya vanila wala embe ni mbele kwa mbele
Ndio aina ya wapumbavu ninaowazungumzia humu kila nipatapo wasaa! Mbele kwa mbele kwa kuwatumia polisi na kukata watu mapanga? Na huijui maana na faida za uchaguzi huru na haki kwa sababu ya upumbavu wako. Inakusaidia nini kuwaongoza watu wasiokutaka uwe kiongozi wao? Ni nini lengo la ccm lisilotimia kwa miaka zaidi ya 50?
 
nadhani ccm inachkitaka ni "ushindi" tu.
iwe kwa shoka au kwa maji ni kinachohitajika ni ushindi tena wakishindo.
Kinachohitajika kwa vyama vinavyoshindana na ccm nadhani nikubuni mbinu ipi itavifanya vishinde .
Haya mengine ya tuliibiwa, tulipigwa,mara tulinyanganywa ushindi
hayataibadirisha ccm
 
Eti ushindi wa kisayansi. Polepole kweli polepole hasa, hadi kufikiri ni polepole. Akili zake matope.
 
USHINDI WA CCM NA VIINI MACHO VYA MWANAMALUNDI.

Inasadikika CCM wameshinda kata takribani zote huku upinzani wakipata kata moja tu, mjinga ni mjinga tu na mpumbavu ana nafasi yake, wagombea wamejitoa kwa uonevu wenu wa kuminya Haki na Demokrasia halafu mnasema mmeshinda au mmeteuliwa na Tume ya Uchaguzi? Matokeo mengi mmeyapindua kwa nguvu ya Jeshi la Polisi na kuwatishia watu kuwaua halafu mnasema mmeshinda…

CCM sio Chama hata kidogo bali wanafanya Mazingaombwe ya danganya toto kuonesha kuna demokrasi giza ndani ya mwanga. Mpango wa CCM nikurudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuvihujumu vyama vya upinzani kwa kwakutumia nguvu za Kijeshi ambayo ni mbinu niliyowafundisha mimi mwenyewe kipindi nimejiunga CCM mwaka 2014 kabla sijaondoka mwaka huu 2017.

Aidha mipango michafu ya CCM ni kufanya unyama kila kona na kuwadhalilisha Wapinzani kwa namna yoyote ile na wengine napoongea hapa watakimbia Nchi na kwenda kuishi uhamishoni. Mwanamalundi alipokuwa akishindana ngoma maadui zake walikuwa wanageuza ushindi nakumpa adui yake ili Mwanamalundi aanguke na hiki ndicho anachofanya CCM. Wapinzani wanapaswa kuwa wabunifu tu ili kwenda kinyume na malengo ya CCM na ni rahisi sana kuwapindu CCM na Mzingaombwe yao. KAZI KWENU.

Mwaka 2020 or before…..Iam going to be a President of United Republic of Tanzania

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU

28 NOVEMBA 2017
UNA KILA DALILI ZA UJINGA NA UPUMBAVU ULIOKITHIRI. NENDA KANYWE POMBE NA KULA MAHARAGE YAKO UJAMBE
 
Mmmhh, naona uko conscious 100%, hongera mkulu kisandu kwa leo.
 
Back
Top Bottom