Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,390
USHINDI WA CCM NA VIINI MACHO VYA MWANAMALUNDI.
Inasadikika CCM wameshinda kata takribani zote huku upinzani wakipata kata moja tu, mjinga ni mjinga tu na mpumbavu ana nafasi yake, wagombea wamejitoa kwa uonevu wenu wa kuminya Haki na Demokrasia halafu mnasema mmeshinda au mmeteuliwa na Tume ya Uchaguzi? Matokeo mengi mmeyapindua kwa nguvu ya Jeshi la Polisi na kuwatishia watu kuwaua halafu mnasema mmeshinda…
CCM sio Chama hata kidogo bali wanafanya Mazingaombwe ya danganya toto kuonesha kuna demokrasi giza ndani ya mwanga. Mpango wa CCM nikurudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuvihujumu vyama vya upinzani kwa kwakutumia nguvu za Kijeshi ambayo ni mbinu niliyowafundisha mimi mwenyewe kipindi nimejiunga CCM mwaka 2014 kabla sijaondoka mwaka huu 2017.
Aidha mipango michafu ya CCM ni kufanya unyama kila kona na kuwadhalilisha Wapinzani kwa namna yoyote ile na wengine napoongea hapa watakimbia Nchi na kwenda kuishi uhamishoni. Mwanamalundi alipokuwa akishindana ngoma maadui zake walikuwa wanageuza ushindi nakumpa adui yake ili Mwanamalundi aanguke na hiki ndicho anachofanya CCM. Wapinzani wanapaswa kuwa wabunifu tu ili kwenda kinyume na malengo ya CCM na ni rahisi sana kuwapindu CCM na Mzingaombwe yao. KAZI KWENU.
Mwaka 2020 or before…..Iam going to be a President of United Republic of Tanzania
DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
28 NOVEMBA 2017