Salvatory Mkami
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 146
- 244
Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi ilitutangazia kwamba CCM kilishinda zaidi katika kura ya Urais, Ubunge, Udiwani nk. Na hata sasa katika Uchaguzi mdogo tumetangaziwa kwamba CCM wameweza kutetea Kata zao kama ambavyo Upinzani wameweza kutetea Kata yao.
Swali ni hili; Kwa kile CCM wanachokiita ni ushindi na utetezi wa Kata zao mbali na wananchi kuisoma namba na hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu na mbaya kila kukicha Je, tunanufaika na nini?!
Swali ni hili; Kwa kile CCM wanachokiita ni ushindi na utetezi wa Kata zao mbali na wananchi kuisoma namba na hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu na mbaya kila kukicha Je, tunanufaika na nini?!