Ushawishi wa Mzungu

Ushawishi wa Mzungu

ladykim

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
67
Reaction score
17
Niliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy for ur galfren gift akanisms kua amenunua vitu vifuatavyo hp laptop, ipod, blackberry, iPhone phone, digital camera, 24kg gold cheni, na pete ya gold above all kaniwekea usd 4500 ndani ya laptop na katuma kwa kampun inaitwa united link cargo kua wakifikisha watanipigia simu nilishtuka sana mtu kakujua for 2 weeks nilichofanya ni kumpa fake name coz sii hili natumia facebook ninaogopa sana zaid nimemunfriend
 
hii ni story ya kweli au?pole bora umemuepuka iila ulijuaje kanunua vitu vyote hivyo? alikuonyesha?
 
Atakuwa mnigeria Shauri yako.wazungu hawahongi akikuoa atakupa yote hayo.Huyo atataka muhamishe mazungumzo Kwenye email na ata hack email yako akutende au atakuwa your X stalker na anajua Unapenda wazungu akahamisha mazungumzo Kwenye email aka hack .Uwe mwangalifu sana na Facebook according to Pew research 90 percent ya Stalkers ni X lovers .X lovers wengi wanafake profiles.Jaribu kuwa na marafiki unaowajua usi alike strangers .Facebook is fun but it can turn to be a nightmare
 
wazungu hawatongozi ila sijui huyo mzungu wako ni brand ipi?
 
Niliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy for ur galfren gift akanisms kua amenunua vitu vifuatavyo hp laptop, ipod, blackberry, iPhone phone, digital camera, 24kg gold cheni, na pete ya gold above all kaniwekea usd 4500 ndani ya laptop na katuma kwa kampun inaitwa united link cargo kua wakifikisha watanipigia simu nilishtuka sana mtu kakujua for 2 weeks nilichofanya ni kumpa fake name coz sii hili natumia facebook ninaogopa sana zaid nimemunfriend

Hapo nilipobold pamenikereketa na kunifanya nisiamini kiliachoandikwa humu ...
Kwanza huyo kijana mwenyewe alienda na mom wake na kushawishiwa na mama kununua zawadi kwa girlfriend wake, maana yake yeye anamtegemea mama, na kama ni hivyo sijui kama mama angeweza kufanya shopping ya gharama hivyo na ghafla hivyo, si utaratibu wa wazungu!

Pili ni aina ya zawadi, Nakubaliana na kabalizuka kuwa cheni ya 24kg si kitu cha kawaida, na uzito wake ni karibu sawa na uzito wa ndoo ya maji ya lita 20! Sijawahi kusikia cheni yenye uzito huo. Na kama itanunuliwa, naamini gharama yake ni zaidi ya milioni 30 ambazo mtu hawezi kutoa ghafla. Kinachonishangaza zaidi pia ni kununuliwa ipod, blackberry, iPhone phone kwa wakati mmoja maana hizi zote utendaji wake wa kazi unafanana!

Nina mashaka ....
 
Last edited by a moderator:
Tangia lile anguko la Mtihani wa Kidato cha nne maajabu yanazidi kuongezeka. Hivi jamani JF ndiyo pa kutoa
stress zenu!!
 
Hapo nilipobold pamenikereketa na kunifanya nisiamini kiliachoandikwa humu ...
Kwanza huyo kijana mwenyewe alienda na mom wake na kushawishiwa na mama kununua zawadi kwa girlfriend wake, maana yake yeye anamtegemea mama, na kama ni hivyo sijui kama mama angeweza kufanya shopping ya gharama hivyo na ghafla hivyo, si utaratibu wa wazungu!

Pili ni aina ya zawadi, Nakubaliana na kabalizuka kuwa cheni ya 24kg si kitu cha kawaida, na uzito wake ni karibu sawa na uzito wa ndoo ya maji ya lita 20! Sijawahi kusikia cheni yenye uzito huo. Na kama itanunuliwa, naamini gharama yake ni zaidi ya milioni 30 ambazo mtu hawezi kutoa ghafla. Kinachonishangaza zaidi pia ni kununuliwa ipod, blackberry, iPhone phone kwa wakati mmoja maana hizi zote utendaji wake wa kazi unafanana!

Nina mashaka ....

watoto wa facebook wanafraisha kinoma
 
Last edited by a moderator:
Wanaigeria hao dada yangu.. Atakuomba acc yako ili akuwekee mipesa .. Ujue ushaluwa hapo
 
Gold kilo 24 au ulimanisha gram 24, kilo 24 gold ni zaidi ya bilion kwa hapa Tanzania. Hata kwa sisi watoto wa wakulima ambao tumezoea kulima kwa ng'ombe hiyo cheni itakuwa zaidi ya mnyororo wa kwenye yoke ya kufungia ng'ombe.
 
Wala hata usihangaike mana baada ya muda hiyo kampuni aloku2mia nayo watawasiliana na wewe kukujulisha mzigo umekamatwa kwa kuwa una hela na unatakiwa kulipia, ukilogwa kulipia ndo umeingzwa mjini. Hao ni scham wa internet, wameliza weng
 
Muulize mwenzio yule mwanabongo fleva aliyepata mtoto majuz kule ar akwambie yaliyomkuta kutokana na kiherehere kama cha kwako.
 
Duuu 24kg cheni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Niliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy for ur galfren gift akanisms kua amenunua vitu vifuatavyo hp laptop, ipod, blackberry, iPhone phone, digital camera, 24kg gold cheni, na pete ya gold above all kaniwekea usd 4500 ndani ya laptop na katuma kwa kampun inaitwa united link cargo kua wakifikisha watanipigia simu nilishtuka sana mtu kakujua for 2 weeks nilichofanya ni kumpa fake name coz sii hili natumia facebook ninaogopa sana zaid nimemunfriend
jaman mjifunze kudanganya,tapeli wewe
 
Sasa basI nimetumiwa sms kua mzigo umefika dubai na umekwama so I have to pay 250 usd ha ha ha haaaaaaaaaaa no ya dubai ile ya before ilikua ya uingereza
 
Back
Top Bottom