nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,157
Naam maradhi yasiyo ya kuambukizwa yanazidi kuujaza ulimwengu. Kwa kifupi ugonjwa huu ni ile khali ya kubadili hisia kwa ghafla bila kuwa na sababu yeyote ya msingi,
Kwa mfano mtu anaweza kupandwa na hasira ghafla ilhali hajakosewa na mtu yeyote, Hali kadhalika mtu huyo huyo anaweza kuwa na furaha ya ajabu kwa ghafula bila kuwa na jambo la aina yeyote,
Watu wa namna hii nimeshawahi kukutana nao hasa maboss..na kwa kweli sikujua kama ni wagonjwa,,,yaani wafanyakazi asubuhi tunaulizana leo boss vp?...kama anafuraha basi hapo ndio waweza kupenyeza jambo lako vinginevyo ni mtihani.
Awali nilikuwa nachukulia ni mzaha na kuwaita vichaa baridi lakini baada ya kupata somo ndio nikaelewa ya kwamba ni ugonjwa,,,sijui nini nini mood swing na nini sijui mamaae.