Ushawahi pata aibu gani mbele ya crush yako?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,373
Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae

Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida

Binafsi Enzi za kidato kuna Mdada mmoja nlikuwa namuhusudu sana na nlitengeneza mazingira ya kuniona wa tofauti ikiwemo kipato , lakini ilinikuta Fadhaa moja mbele yake


SI NILITUMWA KWAO KUUZA KUKUπŸ”πŸ˜‚


Tiririka nasi hapa AIBU gani ilikupata mbele ya CRUSH wako?
 
Ofcz mimi hakua crush wangu ila natumain alikua na ka boy kake mle darasani..E bwana yule dada alijamba kwa nguvu sanaaaaa kipind kikiendelea halaf darasa lipo kimyaaa...Aisee kila mtu alijua ni yeye..Yan kwa nguvu balaa..
Sijui boyfriend wake alijiskiaje ila yeye alipopata upenyo wa kutoka hakurud tena class
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani lilimtoka tu dadaeq
 
Hakuna aibu kubwa kama kuwekwa kwenye ignore list na crush wako, huyu crush bana nimetumia mbinu zote nimejisemesha hapa jukwaani nimejisemesha PM kwake wala hakuwahi kunijibu, nilimwanzishia mpaka thread wapi, kimya kama vile haoni kinachoendelea na block juu, sasa hivi majuzi amenitoa kwenye block ila PM yake imefungwa

Najiona bonge la fala aisee, sio kwa kupuuzwa huko, maana huko ni kupuuzwa kwa kiwango cha stigila goji
 
hahahahaha usikute kasoma hadi hii
 
Kuna siku nilkutana nae kwenye miangaiko nimechafuka balaa nikampa hi! Akauchuna dah!!! Iliniuma sana.
 
Crush wangu deile alikua ananiona au tunakutana nikiwa mchafu chafu, yani sijawaka nimetoka beba gunia za ngano mara nini, tabu tupu, nilikua natamani anione nikiwa kitofauti, kumbe BWANA ndo nilkua namvutia kuliko
🀣🀣🀣
 

Poleeee tulia na mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…