Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 7, 2021 Thread starter #41 fogoh2 said: hakunaga madawa kwenye utapeli otherwise wangekua mabilionea wakutupwa kama kuna dawa zinafanya hizo kazi.ni mathematics tu Click to expand... Dawa zipo kwa wale walio experience kuibiwa kwa mbinu hizo wanafahamu vyema. Pengine wewe upo upande wa watu wasio amini uchawi.
fogoh2 said: hakunaga madawa kwenye utapeli otherwise wangekua mabilionea wakutupwa kama kuna dawa zinafanya hizo kazi.ni mathematics tu Click to expand... Dawa zipo kwa wale walio experience kuibiwa kwa mbinu hizo wanafahamu vyema. Pengine wewe upo upande wa watu wasio amini uchawi.
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,786 Reaction score 4,126 Dec 7, 2021 #42 Kuna watu wana damu ya utapeli tuu
farharu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 527 Reaction score 588 Dec 7, 2021 #43 Hakuna uchawi hapo watu wanacheza na saikolojia yako tu
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 8, 2021 Thread starter #44 farharu said: Hakuna uchawi hapo watu wanacheza na saikolojia yako tu Click to expand... Siku ikikutokea ndio utaamini kuna uchawi.
farharu said: Hakuna uchawi hapo watu wanacheza na saikolojia yako tu Click to expand... Siku ikikutokea ndio utaamini kuna uchawi.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 8, 2021 Thread starter #45 Zimba XXV said: Kuna watu wana damu ya utapeli tuu Click to expand... Hakika na ndio kitu kinawaweka mjini.
Zimba XXV said: Kuna watu wana damu ya utapeli tuu Click to expand... Hakika na ndio kitu kinawaweka mjini.
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,892 Reaction score 4,870 Dec 8, 2021 #46 Kasomi said: Kweli maana tunajifunza kutokana na makosa kwa sasa vitu kama hivyo sizani kama vitatikea tena kwako. Click to expand... SIJAWAHI ibiwa Tena kizembe Hadi leo
Kasomi said: Kweli maana tunajifunza kutokana na makosa kwa sasa vitu kama hivyo sizani kama vitatikea tena kwako. Click to expand... SIJAWAHI ibiwa Tena kizembe Hadi leo
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,892 Reaction score 4,870 Dec 8, 2021 #47 Kasomi said: Hii ya kutumia dawa ipo sana yaani unaweza kumpeleka mpaka Nyumbani kwako ili akakuibie vizuri. Click to expand...
Kasomi said: Hii ya kutumia dawa ipo sana yaani unaweza kumpeleka mpaka Nyumbani kwako ili akakuibie vizuri. Click to expand...
The Garang JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 2,892 Reaction score 4,870 Dec 8, 2021 #48 Kasomi said: Kweli huu wizi ulishamili sana na wanatumia wenzao kuwaaminisha. Click to expand... Ndiyo kaka saiv akili ishakuwa siwez ibiwa kwa mtindo huo
Kasomi said: Kweli huu wizi ulishamili sana na wanatumia wenzao kuwaaminisha. Click to expand... Ndiyo kaka saiv akili ishakuwa siwez ibiwa kwa mtindo huo
farharu JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 527 Reaction score 588 Dec 23, 2021 #49 Kasomi said: Siku ikikutokea ndio utaamini kuna uchawi. Click to expand... Amini mkuu hakuna uchawi ni akili tu
Kasomi said: Siku ikikutokea ndio utaamini kuna uchawi. Click to expand... Amini mkuu hakuna uchawi ni akili tu
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 23, 2021 Thread starter #50 farharu said: Amini mkuu hakuna uchawi ni akili tu Click to expand... Kwa Kweli binafsi nitabaki kuamini kua uchawi upo.
farharu said: Amini mkuu hakuna uchawi ni akili tu Click to expand... Kwa Kweli binafsi nitabaki kuamini kua uchawi upo.