Ushawahi kurogwa?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Ndio wazo langu na fikra zangu siku ya leo Tupeni ushuhuda basi ilikuwaje,sababu ilikuwa nini? Ulijuaje kama umerogwa? Tiba yake ilikuaje? Kwa ufupi Tuuuu.......Mie mgeni maeneo hao jamani.
 
Nahisi kama vile iliwahi tokea
Kuna ofisi moja nilikuwa nafanya kazi na mdada fulani na wakati huo nikawa nakamua rafiki yake ambaye sifanyi nae kazi
Story nilizokuwa napewa na huyo mdada ni mpaka nilikuwa naogopa
Alinambia rafiki yake ni kigagula alishaniendea kwa fundi mala kibao na wakati fulani alinitisha kwamba
Kesho ulifika kibaruani angalia kiti chako kwa nyuma kimetobolewa na kina kashimo mwenzio keshakuwekea madude yake na kweli nikakuta kimetoboka
Nashukuru Mungu kwakuwa mie hata chale sina na sijawahi fanya hayo makitu nilichofanya ni kubadili kiti tu kile nikakitoa na kukiweka kwa wateja
Mpaka kesho huwa sielewi kwanini alinifanyia vile yule bi dada na kwanini rafiki yake alikuwa anavujisha siri kwangu sijui ni ukuni niliokuwa nampiga nao au ....
NAHISI NISHAWAHI KULOGWA NA SIJUI KAMA MAUCHAWI YALIFANYA KAZI AU LA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…