Ushawahi kukutana na mtu anakuchangamkia anakujua jina nyumbani ila wewe humkumbuki kabisa

Mimi niliambiwa sura yangu inaonekana kama mtu famous so nikitokea sehemu ndio maana watu huwa wanahisi wameshawahi kuniona sehemu
Hongera sisi tunafananishwa na waganga wa kienyeji . Unaulitwa eti wewe sio mtoto wa mganga flani
 
Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli

Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau

Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?
Siku nyingine omba mungu usikutane na askari magereza alafu akufananishe na mfungwa ambae aliwahi mtoroka😁
 
Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli

Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau

Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?
Leo tu imetokea na mimi nikamchangamkia hivyo hivyo
 
Kuna mtu mmoja nimekutana nae Sqmora/Azikiwe akanichangamkia sana. Nikamuuliza tumeonana wapi akaniambia niko mtaani kwenu(kwetu) huwa nakuona jioni ukitokeq mazoezini. Tukaongea mambo makubwa saana ya kimaendeleo
Baada ya cku kadhaa natokea home napita Salon ya wanawake namkuta jamaa yuko katikati ya wanawake 7 au 8 Mwanaume peke yake. From there onwards jamaa hata kuoeana Hi hamna
Jamaa ni aina ya vijana ambao kukaa na Wanawake kuzungumzia umbea wa. Mtaani hata masaa 2 haoni shida
 
Mimi uwaga najichangamsha then nakuwa kimya kimya najiuliza kichwani nakaa kimya naonaga jau kumuuliza wewe ni nani
 
Kuna mmoja aliniona alikuwa upande wa pili wa Barabara alivuka kabisa na kuanza kuniita Kwa Jina ambalo sio langu kabisa nikajua hapa napigwa nikaongeza mwendonmwamba huyu...nilichofanya nikasimama nikamwambia Hilo si Jina langu na sikujui hata kidogo na usinifuate hata hatua mmoja kabaki kasimama hana la kufanya 🤣🤣🤣
 
Kuna mtu mmoja nimekutana nae Sqmora/Azikiwe akanichangamkia sana. Nikamuuliza tumeonana wapi akaniambia niko mtaani kwenu(kwetu) huwa nakuona jioni ukitokeq mazoezini. Tukaongea mambo makubwa saana ya kimaendeleo
Baada ya cku kadhaa natokea home napita Salon ya wanawake namkuta jamaa yuko katikati ya wanawake 7 au 8 Mwanaume peke yake. From there onwards jamaa hata kuoeana Hi hamna
Jamaa ni aina ya vijana ambao kukaa na Wanawake kuzungumzia umbea wa. Mtaani hata masaa 2 haoni shida
Mtu kama namjua kumkataa simple tu ila kama humjui ndio kimbembe
 
Back
Top Bottom