suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,493
- 2,976
Unamtaka mtu wa aina gani?Hello wapendwa,
Je ushawahi kuleta thread huku na badae ukajutia ukatamani kuifuta na hauwezi?
Mimi najutia sana thread zangu fulani za nyuma na mods ndo wamegoma kufuta na wameziwekea kufuli kabisa hata ku edit huwezi.
Jamani ule ulikua ujana ila najutia kuzileta humu japo mikasa mengine yalikua ya watu wangu wa karibu.
Aya, kama hutaki mambo ya kujutia badae, think twice before kuleta thread..Asanteni
NB..Bado sijapata mtu ninayemtaka cuz zile threads zinanikwamishaaaa...
Hahaaha nomaNakumbuka mwaka fulani kuna Taasisi moja niliipondea kinyama, baada ya mwaka nikaajiriwa hapo. Nililazimika kuachana na ID ile na kuja na mpya
Ipo ya kistaarabu sanaBadili id
Hahhaahha poleMimi mara kibao! Huwa nabishana na watu, halafu nikija kuona baadae mpaka aibu
Kweli mkuuNikikutana na Comment zangu za nyuma lazima nifute.
Hii kitu imenifanya mwaka huu niwe banned sana loh.
Kikubwa ni kua hatujui kesho yetu hivyo tuangalie aina ya michango tunayochangia!!! Hata kwa utani
View attachment 1915012