suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,493
- 2,976
Hello wapendwa,
Je ushawahi kuleta thread huku na badae ukajutia ukatamani kuifuta na hauwezi?
Mimi najutia sana thread zangu fulani za nyuma na mods ndo wamegoma kufuta na wameziwekea kufuli kabisa hata ku edit huwezi.
Jamani ule ulikua ujana ila najutia kuzileta humu japo mikasa mengine ilikua ya watu wangu wa karibu.
Aya, kama hutaki mambo ya kujutia badae, think twice before kuleta thread..Asanteni
Hata kupata mwenza au deal humu shida cuz lazima mtu atachungulia thread zako za nyuma hivyo zinakwamishaaaa..