Ushawahi kujutia kuleta thread huku jf?

suzie _barbie

JF-Expert Member
May 2, 2017
1,493
2,975
Hello wapendwa,

Je ushawahi kuleta thread huku na badae ukajutia ukatamani kuifuta na hauwezi?

Mimi najutia sana thread zangu fulani za nyuma na mods ndo wamegoma kufuta na wameziwekea kufuli kabisa hata ku edit huwezi.

Jamani ule ulikua ujana ila najutia kuzileta humu japo mikasa mengine ilikua ya watu wangu wa karibu.

Aya, kama hutaki mambo ya kujutia badae, think twice before kuleta thread..Asanteni

Hata kupata mwenza au deal humu shida cuz lazima mtu atachungulia thread zako za nyuma hivyo zinakwamishaaaa..
 
Hello wapendwa,

Je ushawahi kuleta thread huku na badae ukajutia ukatamani kuifuta na hauwezi?

Mimi najutia sana thread zangu fulani za nyuma na mods ndo wamegoma kufuta na wameziwekea kufuli kabisa hata ku edit huwezi.

Jamani ule ulikua ujana ila najutia kuzileta humu japo mikasa mengine yalikua ya watu wangu wa karibu.

Aya, kama hutaki mambo ya kujutia badae, think twice before kuleta thread..Asanteni

NB..Bado sijapata mtu ninayemtaka cuz zile threads zinanikwamishaaaa...
Unamtaka mtu wa aina gani?
 
Nakumbuka mwaka fulani kuna Taasisi moja niliipondea kinyama, baada ya mwaka nikaajiriwa hapo. Nililazimika kuachana na ID ile na kuja na mpya
 
images (5).jpeg
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom