msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
Na wewe unakubaliana na hilo?Haya
Wanyama hawana akili kama binadamu. Wameumbwa hivyo ili jike avutiwe na dume wazaliane. Ukija kwa binadamu uzuri sio kigezo pekee cha kumvutia mwenza, akili na ushawishi Kwa njia mbalimbali hutumika.Viumbe vyote vya kiume vimeumbwa kwa muonekano mzuri (Yaani wazuri kwa Mvuto) isipokuwa binadamu tu?angalia simba dume, Mbwa Dume, Njiwa Dume etc.
Hii ni hekima kubwa sana ya Mwenyezi Mungu, but binadamu uzuri umewekwa kwa wanawake, tena uzuri haswaaa.
tafakari zaidi ndugu
Akikuelewesha namm utanisaidia,naenda kutafuta kamusi kwanza inisaidieNimesoma mara kumi kumi ila sijaelewa sijui uwezo mdogo
Ahsante KakaWanyama hawana akili kama binadamu. Wameumbwa hivyo ili jike avutiwe na dume wazaliane. Ukija kwa binadamu uzuri sio kigezo pekee cha kumvutia mwenza, akili na ushawishi Kwa njia mbalimbali hutumika.
Kamusi tena?Akikuelewesha namm utanisaidia,naenda kutafuta kamusi kwanza inisaidie
SanaNa wewe unakubaliana na hilo?
Umejibu vyema!Wanyama hawana akili kama binadamu. Wameumbwa hivyo ili jike avutiwe na dume wazaliane. Ukija kwa binadamu uzuri sio kigezo pekee cha kumvutia mwenza, akili na ushawishi Kwa njia mbalimbali hutumika.