Ushawahi Achwa alafu Ukamuacha?

Ushawahi Achwa alafu Ukamuacha?

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,854
Aisee hakuna kitu kitamu kama demu akakuacha alafu wewe ukajishusha ukambembeleza akakolea tenaa na wewe ukazidisha mahaba kama zamani alafu Ukamlaaa mpaka bhasi then Ukapiga kimya from no where Aisee huwaga inachoma kama pasi..!!

Karma never forget.
 
Eti ukamlaaaa kwahivyo ye kibogoyo au ....sema mmekulana
 
Wanaume Hatuachi wanaume tunaweka reserve kwa mechi za baadae ..siwez tamkia demu tuachane labda aniache mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom