Kwa nini wazazi hawataki nioe mke kutoka kaskazini yaani wachaga, wapare n.k... kwani wasichana wa huko wanamatatizo gani??

Simple:
Wazazi wako wana matatizo. Na wewe huna maamuzi.
Iko siku watakushauri uoe mbuzi. Kazi ni kwako.
Wazazi wako wako sahihi 97% mimi nilikuwa mbishi sana kama wewe ila yaliyonikuta mpaka leo najutia jiulize kwanini hawakuzuii kanda zingine.Usiwapuuze waulize kwanini then tafakari sanaKwa nini wazazi hawataki nioe mke kutoka kaskazini yaani wachaga, wapare n.k... kwani wasichana wa huko wanamatatizo gani??
Kwa nini wazazi hawataki nioe mke kutoka kaskazini yaani wachaga, wapare n.k... kwani wasichana wa huko wanamatatizo gani??
Au atuambie yeye ni wa wapi........inaweza kuwa sisi ndio hatumtaki........
Wazazi wako wako sahihi 97% mimi nilikuwa mbishi sana kama wewe ila yaliyonikuta mpaka leo najutia jiulize kwanini hawakuzuii kanda zingine.Usiwapuuze waulize kwanini then tafakari sana
Labda kwa sababu wazazi wako wanajua huna hela...