sijawahi mkuu ndo mana nimeshtuka.Ulishawahi kushiriki/ kujiandikisha kwenye hayo mashindano hadi ushinde?
Unaelekea kuibiwa...
Matapeli tu hao achana nao watakuliza ukose mtu wa kukufariji. Wewe utakuwaje mshindi kwenye shindano ambalo hujashiriki. Hii ni kama kusema mashindano ya riadha za mita mia moja yanafanyika Uingereza halafu mshindi anatangazwa kuwa ni wewe uliyepo bongo. Wapi na wapi?Habari za wakati huu wadau? Samahani kuna jambo limenitatiza naombeni mnisaidia kabla sijaingia mkenge. Kuna ujumbe wa maandishi(sms) nimepokea kutoka kweny no. +255786899116, unaosema +12068553227: YOUR MOBILE NO HAVE WON ($.550,000.00 DOLLARS)COCA-COLA FIFA WORLD CUP RUSSIA TO CLAIM IT SEND YOUR DATAILS TO EMAIL: cocacocacoca2014@outlook.com. Hii sms nimeicopy kama ilivyotuma kwa hiyo nipeni ushauri niwatumie au niwapotezee?