wee wala usiwe na presha kijana...hoyu sio goma la ukweli sasa wewe nawe muweke kama option tuu...jishikize tuu hapo huku unatafuta demu wa maana. kashakupa K?
huo ni mtego umewekewa
wewe mwambie kama mko wawili basi amchague huyo mwingine
wewe unajitoa ....jibu utapata
Ktk Uhalisia Wa Kibinadam,Hlo Suala Haliwezekani Labda Awe Amerogwa,
Anataka Kupma Msimamo Na Utetezi Wako Kwake!!
Hata Siku Moja Mwizi Awezi Kumshtua Anaemuibia,So Hapo Pekecha Akili Kumbichwa!
Onesha Thamani Yake Kwako Kwa Kupinga Kwa Nguvu Zote!
Kamwambie Haukubali Aumizwe Na Mtu Yeyote Coz Wewe Itakuuma Mara Mbili Zaidi Yake,Hvyo Aendelee Kuwa Nawe Kwani Ndiwe Mwenye Kufuli La Maumivu Wengne Wana Ufunguo Wa Maumivu!!
(Hapo Kama Ulibaniwa Mzigo Na Mkawa Faragha Lazima Uegemewe Na Hata Kupewa K Kiulaini)
Mwanaume bandidu weweeeee! Khaaaaaa! Utadhani mzee Okonkwo wa THINGS FALL APART!!!!! Hutaki kabisa kubadilika na TEKELINALOTUJIA!!!!! LOL! Nahisi wewe na Kingunge Ngombale Mwilu mngeelewana san kwenye itikadi zenu za ki COMMUNIST!!!!
Hahahaaaa! Majigo umeanza vizuri kidogo niseme labda leo upo SABATO!!! LOL! Ila ngoma ya kitoto haikeshi si ndo ukaharibu mwishoni kwa kuleta habari za K tenaaa! Mjaa asili aachi asili atiiiii!
duh ! ?!!!!!!!!!!!
kuna hatari ya kulea watoto siyo wako.Kwa nini hakukwambia tangu mwanzo ?
Alificha nini ?
Mwanamke wa namna hiyo, ukiingia naye kwenye ndoa, tarajia kuwa mtaendelea kuwa wawili !!
Maana, ulishakubali kuwa mko wawili tangu mwanzo, sasa utakataaje huko baadaye ??