Ushauri

Ramadhan js

New Member
Aug 8, 2012
1
0
Nimeumwa gono zaidi ya Mwaka mda wote nilikua natumia dawa lakini huwa napata mafuu tu.Nilikuwa naomba ushauri na ikiwezekana dawa ambayo inaweza kuniponya.
 
Upo sehemu gani ya nchi? Kuna maabara nzuri naifahamu hata majani ya kiasili yapo. By the way pole sana.
 
Duu, pole sana! Nenda hospital haraka sana watafanya vipimo zaidi. Usikubali kunywa dawa bila ya 'CULTURE AND SENSITIVITY' ya sample yako kufanyika.
 
Back
Top Bottom