ushauri

ushauri

chuse 05

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
12
Reaction score
1
nina mdogo wangu kamaliza form six pgm kapata division ya 8 anapenda kusomea urubani kwa apa bongo kozi za ulubani zipoje na bei zake kwa anaejua plizz matokeo physic B math B geo D
 
nina mdogo wangu kamaliza form six pgm kapata division ya 8 anapenda kusomea urubani kwa apa bongo kozi za ulubani zipoje na bei zake kwa anaejua plizz matokeo physic B math B geo D
Tatizo ni hiyo division ya 8 ndio mpya.
 
Akasemee witchcraft ya maswala ya Anga..inatolewa pale gamboshi,

Mwambie awai haraka
 
typimg era brothers dovision one point 8
Hongera zake.
Aaanze kufuatilia taarifa za kupata udhamini wa masomo kama kweli anania ya kusomea hiyo fani. Tanzania kuna chuo cha mambo ya anga na mwaka huu niliona kwenye habari kuwa wanampango wa kuanzisha kozi za urubani chini ya udhamini ya wazungu(sikumbuki ni wa nchi gani), sajajua wamefikia wapi katika hilo.
 
Back
Top Bottom