ushauri

yani yeye swala la huduma alina kipaumbele aliwahi kuniambia kwamba anaona nna mawazo sababu ya 2mbo lake na kwakuwa ananipenda apend niwe kweny hali ile so akae mbali na mm yan nimuache coz kwa sasa ina miez mitano imeshakuwa kubwa sana kutoa ni hatari sana ila ningewahi kwenye miez mi2 au 1 angeitoa
 
Mzee baba tafuta mwanamke mwingine mbona wapo wengi tu usije ukaja jutia hapo badae fanya maamuzi magumu sasa
 
Kwa hiyo wewe umeamuaje? Tuanzie hapo
 
Na kwa nini atoe kiumbe ambacho hakina hatia, kama anaweza kutoa mimba unafikir uyo mtu ana roho gani! Na vp uko mbeleni unafikir atashindwa kweli kukufanyia kitu chochote ambacho kinaweza kukuumiza wewe uyo mwanamke achana nae tafuta mwingine mbona wapo wengi tu
 
Kumbe mikosi mnaitafuta wenyewe baadae mnasema mmerogwa!

Bwana mdogo, inawezekana ndio mara yako ya kwanza au ya pili kupenda deeply automatically in Love halafu hueleweki unataka ushauri gani kama kumpenda umempenda mwenyewe, akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Bro we lea tuu... mbona mi wangu anamiezi miwili na nshakubalina na hali...
Angalizo tuu hii mambo ni zaidi ya kubeti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…