musarashidy12
Member
- Jul 1, 2019
- 19
- 10
kivipi yani mkuu sijakuelewaUnataka kununua shamba lenye mgogoro ?
HahahahaaaaaaaaaaaaaaUnataka kununua shamba lenye mgogoro ?
Wapi hujaelewa ?kivipi yani mkuu sijakuelewa
Unampenda au unamtamani? Tafakari hayo maneno mawili kisha chukua hatuahabari zenu humu naombeni ushauri kuna mwanamke nimempenda ila siku namfata kumwambia hisia zangu akanimbia alikuwa na mpenz wameachana ila ni mjamzito na ina miez minne ila anaonesha ananipenda pia na wala hana kuniomba omba hela na swala la huduma aliniambia ni kujiongeza tu mwenyewe na kama nimempenda nimpende yeye kama yeye naombeni ushauri jaman
maana ya kuuliza lile swali lakoWapi hujaelewa ?
nampendaUnampenda au unamtamani? Tafakari hayo maneno mawili kisha chukua hatua
Dogo anaacha maeneo yaliyopewa hati na serikali badala yake anaenda kutafuta eneo lenye mgogoro.Hahahahaaaaaaaaaaaaaa
Nimecheka kwa sauti kwa comment yako ndugu
Atarudi analia machozi humu.Dogo anaacha maeneo yaliyopewa hati na serikali badala yake anaenda kutafuta eneo lenye mgogoro.
Umekosa mwanamke aliye fresh hadi unaenda kutema sumu mahali ambapo mwanaume mwingine ameweka mzigo wake.maana ya kuuliza lile swali lako
mimi lengo langu sio kwamba mtt awe wa kwangu hapanaDogo anaacha maeneo yaliyopewa hati na serikali badala yake anaenda kutafuta eneo lenye mgogoro.
Lengo lako ni ku hit and run au sio ?mimi lengo langu sio kwamba mtt awe wa kwangu hapana
jamaa yeye ameshachimba yani kaingia motini kaachama na demu kbsaUmekosa mwanamke aliye fresh hadi unaenda kutema sumu mahali ambapo mwanaume mwingine ameweka mzigo wake.
Kesho na kesho kutwa jamaa akija kuchukua mzigo wake, ukasirika ?
Wapenzi hawaachani mdogo wangujamaa yeye ameshachimba yani kaingia motini kaachama na demu kbsa
i mean nimempenda yule dada aliyebeba mjamzito na si kingine bossLengo lako ni ku hit and run au sio ?
Sasa kama umempenda mama yake, mtoto utamfukuza? Ujauzito una miezi minne tu kakueleza chanzo cha kutengana na mwenye ujauzito? Vipi kama ujauzito ndio umefanya wapate hali ya kuchukiana na baadae akijifungua hali hiyo ipotee waanze kutafutana?mimi lengo langu sio kwamba mtt awe wa kwangu hapana