Wanaotumia huduma zenu si watanzania peke yao
wapo wageni kutoka nchi mbalimbali wanatumia huduma zenu
sasa mnaposema kusajili lain ni mpaka kitambulisho cha utaifa peke yake
je hamtaki hawa wageni watumie huduma zenu
kwanini msiruhusu
lesen
hati za kusafiria zitumike pia