P Peter Majaliwa Senior Member Jun 16, 2017 161 30 Apr 2, 2019 #1 Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu