USHAURI

USHAURI

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
477
Reaction score
572
Husika na mada hapo juu,naombeni ushauri juu ya masuala ya chuo
Nimechaguliwa kujiunga chuo cha NIT na usajili unaishia tarehe 11 lakini sijafanikiwa kupata mkopo . je nifanye nini kuinusuru nafasi yangu na walitangaza beyond hiyo tarehe watafanya cancellation kwa usajili
 
Mimi had Leo sijaend chuo na usajir mwisho tareh 11 na mkopo ndo kwanza nimeona jina LA mkopo Leo.....sijui watanikatalia kunisajir....naomben msaada
 
Nenda bado hujachelewa kabisaa
 
Cdhan km kuna chuo kitamkataa mtu kwasababu ya kuchelewa kwa week 2 au moja!.. Na wao walishakuwa wanafunzi wanaelewa changamoto zilizopo!!..Hakuna mtu asiyepend kwend chuo sema ndo hvyo changamoto ni nyingi hususan mkopo!!
 
Husika na mada hapo juu,naombeni ushauri juu ya masuala ya chuo
Nimechaguliwa kujiunga chuo cha NIT na usajili unaishia tarehe 11 lakini sijafanikiwa kupata mkopo . je nifanye nini kuinusuru nafasi yangu na walitangaza beyond hiyo tarehe watafanya cancellation kwa usajili
Kama huna uwezo wa kusoma mwaka huu kwa gharama binafsi, nenda chuoni uandike barua ya kusogeza mwaka hadi 2019(au pale utapokua sawa kiuchumi, max. 2 yrs) ili kulinda nafasi yako
 
Mimi had Leo sijaend chuo na usajir mwisho tareh 11 na mkopo ndo kwanza nimeona jina LA mkopo Leo.....sijui watanikatalia kunisajir....naomben msaada
Hiyo tarehe huwa ni kwa ajili ya mass registration ila muda unasogezwa kwa baadhi ya ambao hawakuweza fika kutokana na sababu mbalimbali
 
Daaah ntashukuru sana ikiwa hvyo
 
Back
Top Bottom