Kwanza kabisa naomba kusema asenteni sana kwa ushauri wenu na misaada yenu mungu amenijari nimepata chuo asante sana kwa wote mlio ni saidi nimepata KCMC kama kuna mdau wa huku mungu akipenda tutaona huko na mungu awabariki sana tena sana sana . Ila kuna rafiki yangu anashida ya ushauri amechaguliwa kwenye multiple UDOM katika course ya science in ICT mediated content dvp na amechaguliwa science in chemistry UDSM na education pale SUA. Yeye anaomba msaada wakujua hiyo vourse ya science in ICT mediated content dvp ndio nini yaani ini ina husiana na nini na vipi kuhusu ajira zake?? Na kati ya hzo bora kipi.