Ushauri

Ushauri

Kwanza Kabisa Nenda A-level.. kama Private Candidate Usirudie O-level au Kama utarudia O-level(incase kwenye Job wakataka maybe uwe na C+ ya Geo au Chem) Rudia Huku unafanya PC Advance..Mkuu kwa Kuwasikia Waliosoma CBG Wanadai ni comb Nyepesi (Naweka akiba ya maneno maana nilisoma PCM), kwa maana hiyo kulingana na uwezo wako angalia usome miaka miwili au mwaka mmoja but with respect to matokeo yako ya O-level soma miaka miwili!

Kila la Kheri!
 
kasome advance hukun ukiresit form four upate credit ya tatu . inawezekana usiogope
 
Matokeo yangu ya (CSEE) yapo ivi
BIO=C
CHEMI=D
GEO=D
ENG=C
ISLAMIC=C
CIVICS=D
KISW=D
PHY=F
MATH=F
Div: 3 point 25
Natak kwenda advance kwa combination ya CBG lakin nimeambiwa siwez kufany mtihan wa mwisho nikiwa kam candidates. Naomba ushauri wenu nirepeat tena form 4 au niend advance nifanye kam pc.ushauri wenu plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba apo nenda tu private na uwez fany mtihan km candenate
Must uwe pc.iv history hukufanya paper au ukiona noma risiti tu ila utakuw unapoteza mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom