kush moker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2016 Posts 579 Reaction score 367 Jul 12, 2018 #1 Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?
Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Jul 15, 2018 #2 kush moker said: Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko? Click to expand... Maharage husitawi vizuri maeneo ya baridi, maeneo ya mkoa wa Pwani yana joto karibu kipindi chote cha mwaka mzima. Joto husababisha kiasi kikubwa cha maua kudondoka na mavuno kuwa machache yasiyolipa.
kush moker said: Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko? Click to expand... Maharage husitawi vizuri maeneo ya baridi, maeneo ya mkoa wa Pwani yana joto karibu kipindi chote cha mwaka mzima. Joto husababisha kiasi kikubwa cha maua kudondoka na mavuno kuwa machache yasiyolipa.