Ushauri

tulyfrance

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
16
Reaction score
2
Habarin za uzma wana jf, nina mdogo wangu wamemchagua kozi ya ICT ,ila hajapenda kuisoma anataka akasome medicine upande wa afya. anaweza je? Kubadili faculty ya sayansi na technology kwenda faculty ya afya? .na lipi bora kuahilisha mwaka au kuisoma hiyo kozi akiimaliza ndo akaombe tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…