ushauri

victor mbuya

Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
78
Reaction score
32
wakuu habari zenu,, selections za chuo zimetoka na nkafanikiwa pata bcom in accounting (udsm) ilkua third priority,, maoni yenu kuhusu hii course,, yani in aspects ka its marketable au nimebugi step,, no matusi au kukandia,, ka unaona utanikwaza naomba usicomment,, nawashkuru sana wakuu!!!
 
Iko poa kwa sababu kila office inataka accountant wawili so soma tu
 
Kama hauna wakukushika mkono jiandae kuzunguka na bahasha
 
bro soma maana ulikuwa na lengo la kuwa accountant hapa JF utaambiwa hakuna ajira na ukapagawa we piga kitabu
 
soma mdogo angu ukimaliza fanya mpango upige na mitihani ya bodi...ili uendelee kuipa nyama cv yako....! HONGERA SANA
 
Ulichaguaje course usioijua mkuu huo ni ujeska . Accounting ina graduates wengi mno mtaani kwa hiyo market ni wewe mwenyewe ila ujue kabisa ajira zake sio rahisi kupata

Soma vizuri,ukiwa competent unaweza kula shavu sehemu nyeti ila
 
brother ni influence ya family members wakanishauri nieke pia hiyo,, wakiniambia nitapata shavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…