Habari wanajukwaa..
Nina mdogo wangu ambae amemaliza certificate ya mipango dodoma. Matokeo yake yametoka na anapenda kusoma ualimu (diploma ya primary )
Je hilo linawezekana?
Shukrani