Ushauri wenu wana jf

Amakalekale

New Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Mie ni mgeni hapa-naombeni mnisaidie ushauri.

Nilikua na mwenzangu (mie ni ke),2lifahamiana miaka 8 sasa 2kiwa A'level-mikoa tofaut,hatmae tukaanza chuo na kuanza rasmi mahusiano,nikamaliza kabla ya mwenzangu nkawa mbeya ye Dar-chuo.

Tulisaidiana pale palipohitaji msaada.Nipata kazi private wakati mwingine natoka usiku-nikamweleza mwenzangu hali-akaelewa baadae nikaamua kusoma huku nikifanya kazi,

Alikubali nisome lakini mambo yakabadilika-nature ya kazi na class naingia kumi jioni mpaka saa mbil usiku-alitaka tuwe tunachat usiku mie nikajitahidi kumweleza navokua nimechoka-akadai nimebadilika mwishoe akaniacha.

Ila bado nampenda na tulishatambulishana kwenye familia zetu.

Nifanyeje ndugu zangu?
 
^^
Pamoja na mwandiko mzuri wa Chuo, wa kisomi, bado kuna mambo unaficha.
Ulibadilika nini?
Ndio, inawezekana hukubadilika na kweli unampenda. Leo unapaswa ukumbuke, Distance love inavunja mahusiano ya wengi, pili, Tazama mbele zaidi, kung'ang'ania kilichokwama hakileti usalama
^^
 
Maliza shule mfate umueleze in person
 
So you are a single mom now? Right?... Soma kwanza ndio ufanye maamuzi ya maana, la sivyo utapoteza vyote, masomo pamoja na huyo unaemlazimisha akurudie...
 
Ukijifunza kuandika vizuri utampata tu anayekufaa.
 
Kama ameshaktamkia kuwa hakutak tena malzia masomo yako then umtafute na akikuletea bla bla kuwa yupo na mwingne piga chin fanya yako.

wanaume tupo weng sana then unaweza kumpata atakyekpnda na kukudhamin zaid ya huyo.
TIME IS THE GREAT HEALER MY DEAR
 
wanaume mafala mafala piga chiiiniiii.....unakaa unamuwaza waza kwani yuko pekeake
 
Alikua anatafuta sababu,akunyimae kunde ......!fanya yako utampata mwanaume,huyo huenda alikua mvulana!
 
Maliza kusoma ukiwa na kazi yako utaweza kuchagua mume unaemtaka
 
mwandiko mbayaaa kama chekechea unatia kinyaa
 
Ww kama unachoka kwa kazi na kusoma mwanaume huwezi kumpa mambo anayotaka maliza kusoma kwnz then tafuta mtu ila km genye zikizidi muone blaza hapo juu
 
Shule kwanza mvulana baadaye( huyo ni mvulana bado)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…