Ushauri wenu waitajika waku

Hawks

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
12
Reaction score
4
Habar zenu waku kwa mara yingine naomba ushaur wenu sbb nawakubal watu wa JF pongez kwa hilo,,, kiufup ni kwamba mimi ni kijana mwenye 30 na nimeoa nina mke na mtoto 1,, wa mwaka,, jambo ni hivi mimi sipo inchini nina mda kabsa sipo nchini na yote hi ni sbb ya kutafta riziki,, nipo na mke wang pia ila kwa siku za nyuma mambo yalikua magumu kabsa hali ikawa ngumu kia ina unajua kwa watu ni kupambana huna wakuliliaa, hal ilikua ngumu kbsa had mimi kama mwanamm ndani nikawa natimiza half ya majukumu yangu ila mke wang akawa kama haelew kivil masimango kila kukicha,,, hapa juzi juzi nina rafiki yangu yupo Dubai nimewasiliana nay nikamueleza hal halisi akanielewa ikbda aniahid kunisaidza ila kwa sharti namimi pia nionyesh juhd yyt akaniambia kwamba aanaweza nipatishia kaz kweny company anayo fanya kaz yy ila khs maswala ya viza, ticket na jijua mwenyew ila kaniambia ikiwa nita afford kupata half na yy anaweza kunisaidiza io half ya pesa kwa kunipa nikiwa kule nampa nayo pole pole!! Nikawa nimemuelewa nikamwambia aina shida nitafanya hivo,, ila nikamwambia yanibd nikaae na wife nimueleze tukubaliane na anirizie ili kuwepo mariziano kati yetu!! Nilipo kaa na wife kumwambia kukawa misunderstanding flan kbsa wife akawa hajarizia na mpango huyo kaleta maneno kibao kabsa,, brief ni kwamba hajakubaliana nami anadai kwwmba nikiondoka ndo nitakua nime muacha nawala hakutokuwepo mawasiliano sbb eti nimeshindwa kumjali nipo karibu naye je nikiwa mbali itakua vip bac akawa ameniambia cukua maamuzi yako mwneyew mimi sipo na ww kbsa,, ila yt nikamwwmbia ni sbb ya family ndo mana na fanya yyt haya kwa future yetu yote,, so kiufup n kwamba kanipingaa namim nilipo naonaa mambo magumu kabsa naona solution nitoke niende kujaribu huko coz bina adam hacoki kutaftaa,, yan hapa nimecoka kabsa kicwa kinauma yani nimekosa nifany nn,!!! Pliz waku nisaidizen kwa ushaur wenu kbsaa!! God Bless us!!
 
Nenda katafute pesa, ukikomaa nae hali ikizidi kuwa ngumu matokeo yake ni yeye kukuacha na kwenda kwa venye wenye mijihela jooo.
 
Duuhh hapo Kazi unaitaka...

Na familia unaitaka...

Mwanamke akiamua mpaka utaona dunia chungu.

Sikia hawa mar nying hawajui wanayotaka, ndomana hapo anajua kazi ngum lkn anakusimanga, alafu umepata gap bado ameamua kukusimanga.

So ukibaki nahali ngum atakusimanga mbele yako... Ukitoka, atakusimanga lkn wee hautokuwepo.

Kwakua Umeoa, Toka nje na ukatafute Ridhiki ila ukiwa huko , prove her wrong kwamba " Wife nipo uku kwaajili ya Familia".
 
Aisee kweli haupo nchini.

anaogopa ukishakwenda ndio unakwenda kuoa kabisa hiyo imetokea kwa wengi......
 
be strong....be man......be the leader......familia ni yako wewe....ulipoenda kumposa uliamua mwenyewe.....sasa unaenda kumtafutia chakula....be man..just do it.....go......
 
Ingawa hofu ya mke wako is understandable ila sio muelewa kabisa.

Jaribu kuliwasilisha kwa kumuonyesha benefits familia itakavyopata ukiwa nje.

Kama wewe unaona kuna haja ya kusepa na kutafuta riziki sehemu nyingine, just do it. Kadri muda utakavyoenda atakuwa muelewa. Otherwise kama bado atakuwa anasumbua, basi huna mke hapo.
 
Kila kitu nimemuonyesha ila msimamo wake hujabadilika sbb mimi nimefunga nay ndoa nikamsafirisha had akaja akanikuta nilipo yote hiyo nimemuonyeshaa , ila haoni cocote,, na sasa hivi hata jama alie kubali kunifanyia connection huko nayy ame anza kulaumiwa hadi amenipa last chance niongee na wife aelew la sivyo ata cancel kila kituu,,, akidai kwamba hataki kua sbb ya kuvunja ndoa!
 
Wanawake wa sa hivi.. Hawapi kufanya utimize lengo au malengo yako..anakukatisha tamaa tu....anazingua
 
Duh huu mwandiko ni mimi tu sijaelewa au
 
"Waku" wanakuja kukupa ushauri Mkuu usijali!

Ngoja niwe mfuatiliaji tu!
 
Kaa na mkeo jenga family hapo ulipo acha tamaa jua una familia hujui huko unapokwenda kukoje, kama ungekuwa single hapo kweli ingekuwa rahisi
 
Kaa na mkeo jenga family hapo ulipo acha tamaa jua una familia hujui huko unapokwenda kukoje, kama ungekuwa single hapo kweli ingekuwa rahisi
Apo tama jamaa kaonyesha ni ipi!? Mana ake mtu kujitoa kwa kutaftia familia yake imekua taama!! Binadamu hacoki kutafta hadi afariki mwanangu!
 
Apo tama jamaa kaonyesha ni ipi!? Mana ake mtu kujitoa kwa kutaftia familia yake imekua taama!! Binadamu hacoki kutafta hadi afariki mwanangu!
Tamaa inakuja pale anapotamani maisha ya Ughaibuni wakati huku ana familia atafute tu hapo alipo atapata, huko anapoenda ni mbali endapo familia yake ikapata matatizo inakuwa ni ngumu kuyasolve
 
Hauko nchini?
Vip mkeo unataka umwache huko ulipo?
Vip huku tz ushajenga au ndo nyumba za kupanga aje akose kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…