Ushauri wenu unahitajika

Mwambie hv mke wangu unajua jinsi navyokupenda lakini kelele zako zimenipeleka hko angalia kipind kile tulipotengana niljikuta naingia kwenye vishawishi na kupata watoto watatu ,kumbuka m ni mwanaume umeona madhra ya kelele zako??
 
Tunamkataa Mungu Sana wakuu tunapanda mbegu mbaya sana Mimi ntakushauri kiroho zaidi. Umetenda dhambi mbaya sana. basi Fanya kuomba toba 1yohana 1:8, unasema unauwezo kwann hufungi ndoa ili kumpa Mungu nafasi sasa japo kutoa Mahari umefanya hatua kubwa basi malizia iliyobaki, Muombee mkeo sio yeye ni tabia mbaya tuna ridhi,ombea ndoa yako mnalalamika sababu mnajiendea kwa akili zenu. Timiza hayo ya mtoto usimwambie ss hivi subir wakue utamwambia mkiwa na amani sasa unaweza kuuwawa au nae akatafuta wa kwake wa kumtuliza. Mwisho tuache mfumo dume ulimpenda alivyo basi vumilia madhaifu yake na umkabidhi muumba ndoa yako kwa maombi. Bora hasira yake ila hajakuzalia nje,ww je una nin Kama sio uhuni acha Man maisha ndo haya haya. Atendae dhambi ni wa ibirisi

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu wanawake wanachangamoto sana hasa hawa walio ndani ya ndoa ila vumilia na ikibidi badili system zako kwake kua mtu wa serious sana na kutokua na maneno mengi

kwenye swala la kua na watoto wa nje we litulize kwanza kama halikupi shida yyte huko mbeleni utakujaga kuliongea tu
 
Hakuna wife asiekuwa na Keleleee...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hii ni feature inayokuwa installed milele kwa kila wife cha muhimu umvumilie tu maana mwisho wa siku mtaendelea na maisha tu so kufanya maamuzi ya hasira itakucost sanaaa hasa kama hujajiandaa kweli kuachana na huyo mwanamke..



USHAURI.
Kwanza umekosea sana kupiga kavu wadada watatu kwa wakati mmoja na kuwapa mimba hizi ni hasira za kiboyaa sanaa na zitakucost.. Pili jiandae kupita kwenye kipindi kigumu zaidi kuliko ulichopitia kama utamwambia ukweli maana sasa sio tu mdomo hata kudhuriwa na kitu kama kisu..maji ya moto hata kitu chochote inaweza tokea so ukiwa unamwambia chagu sehemu sahihi sana. Tatu akitaka talaka usiwe mwepesi wa kuitoa japo yataka roho ngumu kuvumilia atakayokuwa anakufanyia sema Sababu umeyataka mwenyewe bhasi yabebe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…