Ushauri wenu unahitajika

Wejamaa hauna msimamo kabisa......[emoji851]
Yaani wife anasumbua...[emoji56]
Tena unaogopa kumuacha...[emoji853]
Alafu anamakelele....[emoji3525]
Alafu unaogopa kumwambia kuhusu watoto wako....[emoji2957]
Alafu unawasiwasi....[emoji2960]
Alafu anasauti kwao.....[emoji15]
Alafu anasikilizwa sana kwao...
Alafu mamayake humtetea na kua upande wake......[emoji85]
Alafu mlisha wahi kutengana na hajabadilika......[emoji86]
Alafu umesha jiweka kwamba ni zigo lako....[emoji87]

Mkuu, minaomba nikupongeze na ukweli unamoyo mgumu kana jiwe. Hivyo Sina la kukushauri...[emoji1745]
 
Alafu unaonekana haujakomaa chief, maana ulipaswa uwe umesha tambua kwamba uongeaji uliopita kiasi/kupanda juu wakati wa tofauti zenu ni sehemu ya maumbile/ulemavu wa huyo mkewako.
Kwamaana hiyo, hili ulipaswa uwe umeshalipatia utatuzi.
 
Sikiliza bro....
Kwenye swala kusuluhisha ndoa, nafikiri sio jambo jema kutengana/mmoja kumpisha mwingine ili kutafuta suluhisho.
Kumbuka kwamba, the more mnapo jipa nafasi ya umbali katiyenu ndipo hapo unakua mwanzo wa kukaribisha vishawishi kati yenu kwasababu ya mihemko ya hasira za kila mmoja.
Na tambua kwamba hakuna suluhisho zuri kati yenu zaidi ya ninyi wawili kwa maamuzi ya mmoja wenu kujishusha, lengo likiwa ni kujenga na sio kubomoa.
 

Shukran bos me nimejishusha ili maisha yasonge
 
Bastard wataitwa watoto wako hao... au Wana haramu
 
[emoji23][emoji23][emoji23], nakuelewaga boss Ushimen.

Hivi mkuu mkeo huwa anakudekeaga hata kimahaba?? Au ni mwendo wa kijeshii?? [emoji23] [emoji23]

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Uzinzi ni dhambi ya hovyo sana aisee na madhara yake ni makubwa mno. Mpaka nimecheka eti BP ikamshuka ukamdaka. Mabaharia bana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu watoto hao wa nje hakikisha umewapima DNA. Unaweza kuta umebambikiwa tu hakuna wa kwako hata mmoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23], nakuelewaga boss Ushimen.

Hivi mkuu mkeo huwa anakudekeaga hata kimahaba?? Au ni mwendo wa kijeshii?? [emoji23] [emoji23]

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
Wife yupo jeshini, but ananidhamu na anaitambua mipaka yake kwasababu ananielewa.
Ingawa, ukweli she's very good friend of mine...[emoji3526][emoji3526]
Na hapa ananiuliza kama kweli huyu mleta mada ni wakiume, maana watoto wawili tu anatetemeka kumwambia wife.... Je, wangekua watoto tano kama sisi huku sindio angekua amefuariki...[emoji41][emoji41]
Huyu jamaa anajidanganya tu kwamba ameoa hapo alipo, lakini kiuhalisia nikwamba bado anazini tu
 

Mzee una uhakika watoto hao wawili ni wako

Elimu ya mtaani ni bure kabisa Karibu upate darasa huru
 
Mke anakupasua kichwa unasema ndio utapambana nae ni wako,mwisho wa cku mtatoana roho bure
 
Ukwel humuweka mtu huru. Andaa mazingira mazuri ya utulivu umwambie
 
Mkuu usiwaze mwambie tu kwa maana uwezi kuacha damu yako ikiteseka kamwe na kama ukiona hataki kuelewa basi aina budi kumwambia tu hayo yote ameyataka yeye mwenyewe pasipo kuleta maneno yake yasingelitokea masuala yote ayo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…